Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sawa kwahiyo bwana Smith rowe kuingia mapambano ya 50/50 yamewasaudia mfike wapi ndugu??

Pia martineli mwenye ufanisi amewasaidia mshike namba ngapi msimu uliopita?
 
Mkuu posts zako za nyuma zote unataka tusajili DM wa uhakika leo imekuwaje DM asihitajike ?
Mpango wa Ronaldo ni plan B.
Ule mfumo wa mwanzo wa ole ilikuwa ni lazima apate DM.
Ili tuwe attacks zaidi.

Kwa sasa tuna Ronaldo unadhani DM wa nn? .

tukiwa na DM mkali tunapaswa tucheze 4--3--3.

tukiwa na Ronaldo tunacheza 4--4--2..

Wenye timu wameamua bora Ronaldo.. Kuliko DM..

muhimu ni the strongest man u..

Ukiwa na attackers wakali mbele unawalazimisha wao kujilinda..hakuna haja ya DM.
 
Hata sasa hivi timu zinazocheza na Man united zinajilinda kwa low block.

Timu yoyote inayofunguka mbele ya United ya Solkjaer inafungwa hivi huwa hujiulizi kwanini Ole anamnyanyasa Guardiola na Marcelo Bielsa ?


Nilichogundua timu yetu tunayatazama mapungufu yetu kwa angle ya individual players alone.

Mechi yetu na Southampton ilireveal kitu tofauti kabisa na ukosefu wa wachezaji fulani fulani.
 
Hakika mkuu,,

Lakini tukienda na Ronaldo na cavani kwa pamoja itakuwa hatari na nusu.

Utawezaje kuzuia mvua na mwamvuli wa chandarua?
 
Mkuu kama chakula cha moto kunywa maji,,upoze koo.

Unateseka bure.
 
Sawa mkuu, mpeni basi jezi yake maarufu no. 7 na huyo Cavani sijui mtamuweka wapi au mtamtoa mkopo
 
Ronaldo bado anaona goli mkuu, takwimu zinamtetea sana
Alichopunguza Ronaldo ni kucheza kwenye pressure, hawezi tena. Magoli mengi anafunga kwenye open play. Pia yale magoli ya vichwa ya kunatisha na kufyatua kama kombora hana uwezo huo tena
Muhimu bado anaona goli sio kama Rashford, Martial, hata Cavani hamkuti labda Bruno Fernandes mgweno mwenzake tu ndie anayemkuta
 
Chelsea signs Kante from Leicester
Went ahead to buy Maguire from Leicester

Chelsea signs Pulisic from Dortmund
Went ahead to buy Sancho from Dortmund

Chelsea signs Ziyech from Ajax
Went ahead to buy Van De Beek from Ajax

Chelsea signs Thiago Silva from PSG
Went ahead to buy Cavani from PSG

Chelsea recalls former player, Lukaku from Serie A
Also went ahead to recall former player, Ronaldo from Serie A

Will do absolutely everything to be Chelsea, but can never be Chelsea

My brother, when you're big, you're big 🙄🙄
 
Cristiano Ronaldo vs Chelsea:

15 games played
6 L’s
4 Draws
1 goal scored

We aren't afraid, he's been Pocketed from 2003-2009 😂 🙃😌
The mission continues 😜💙👏
 
Chelsea is big now
 
Hahahhahaah wanajua patawaka !!!
 
Misimu mitano sasa; Ole anazidiwa ata na Arteta na kikombe. Nahisi Ole kuna sehemu anachawia ili aaminiwe kua anajenga timu.
 
Kwahiyo manchester united walimnunua Cavani toka PSG unauhakika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…