Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,826
- 11,647
Asee ole akienda na formation hii magoli mengi sana tutapata maana mbele kuna goal mashine tupu apo akitoka cavan anaingia greenwood safi sanaTutakwenda na 4-4--2..
CR7 ...cavani 9
Rashford... Pogba Bruno. Sancho.
Shaw,magwea,varane bisaka.
Tutaachana na DM..
Kama ole yupo serious na makombe,..
Naunga mkono hojaKama EPL watatoa kibali..Martial aachie hiyo jezi ampe Cavani then CR7 avae uzi wake wenye no 7.
Sawa ataongeza juhudiMwenye penalty zake karejea, inabidi Bruno ajifunze kufunga magoli ya aina nyingine.
Cavan hatoki,,ila kati ya Sancho na rashford ndy watakaobadilishana namba na green Wood.Asee ole akienda na formation hii magoli mengi sana tutapata maana mbele kuna goal mashine tupu apo akitoka cavan anaingia greenwood safi sana
Kuna wachezaj mishahara yao inajilipa yenyewe hilo tambua yule sio phil jones kuhofia ronaldo hawez kutupa tunachotaka ni matumizi nabaya ya akili ronaldo kaipa kila kitu ile timu ujio wa ronaldo ni kuinua morali ya timu kwa wachezaj chipukiz na pia yule ni best player wa manchester united wa muda wote kumkataa aende city ungekuwa upuuzi na dharauHuu usajili japo mzuri ila ni wa Kudandia
Man City walishajitoa ndio ninyi mkaingia
Man u hamkusahau dandia dandia kama hizi huko nyuma iliwacost
Sanchez alikuwa aende Man city ninyi mkapiku
Lukaku alikuwa aje Chelsea ninyi mkapiku
Cristiano Ronaldo katika umri huu bado anao uwezo mkubwa sana japo umeshuka sana
Swali ni je mlimuhitaji, jibu hapana, angekuwa Ronaldo ni mdogo wa miaka 20-25 tungesema alihitajika kwa ujenzi wa timu wa muda mrefu
Pamoaj na kuwa CR7 hakuhitaji je bado atawafaa, jibu ni yes, bado Ronaldo ana uwezo wa kufunga goli 20 kitu ambayo hakuna winga hata mmoja wa sasa mwenye uwezo huo
Madhara yake makubwa ni overload ya mshahara
Hata akiwa kinda hakuwahi kuwa mkabaji pale united kazi kubwa ilifanywa na rooney,scholes na carickMmesajiri jina (brand) lakini hakuna mchezaji sasa hivi pale
Ufanisi wake ulikua Madrid , ata kule juve hakufanya la maana zaidi ya watu hadi wakakosa kombe la ligi
Sasa hivi hakabi, yeye anakimbia na move tu
Muoga sana kuingia zile 50-50, anajua akipata majerui makubwa ndio basi tena
Haya mapambio ya mwanzo ila baada ya x-mass au 2022 kabisa tutaimba nyimbo ya aina moja
Hyo ni plan ya Ferguson..Huu usajili wa ronaldo haikuwa plan ya ole ....na ole hatakuwa na uwezo wa kumtumia CR 7 ....
Muda utasema
Kizuri hakunaga kombe la kucheza na chelsea wala tuzoTulishajua kumpocket toka kitamboView attachment 1911905
Mbona kama unateseka mkuuSasa hivi tukitaka mchezaji ni simu moja tuhata yule Mbappe si idol wake tunaye tukimuita anasahau ndoto zake za kwenda Los Blancos.
Next season kituo cha kwanza ni Germany, Dortmund watupe mtu wetu. Kwa influence ya Sancho na Solskjaer na muundo wa kikosi chetu lolote linaweza kutokea.
Tulifika pabaya sana, eti ka Trashford kalikuwa kanajiona ka star, sasa the real star has come kaache upumbavu.Kitu kikubwa ninachokitegemea ni kuwa vichezaji uchwara vilivyoshindwa kufanya mambo sasa vitaanza kuisoma namba na kuondoka..
It's high time kwa Ole kumwambia Martial hivi;
"Bwana mdogo si unaona mambo hayo ya CR7?,fanya kuondoka mapema tu"..
Same thing kwa James.
Rashford naye aambiwe his game time can only be secured kwa yeye kuperform consistently..mambo ya yeye kucheza kila siku huku akicheza ushubwada yameisha.
Na Ole aelewe kuwa ana kikosi bora kabisa cha kushinda kila kitu ulaya..no more excuses.
======
Henderson
Varane Maguire Shaw
Sancho Fred Fernandes Pogba
Rashford Cavani Ronaldo
========
Henderson
AWB Varane Maguire Shaw
Fernandes Fred Pogba
Greenwood Cavani Ronaldo
=========
GGMU
Sio aachie aondoke kabisa.Kama EPL watatoa kibali..Martial aachie hiyo jezi ampe Cavani then CR7 avae uzi wake wenye no 7.
Tumeyapokea malalamiko yako tupo kwenye mchakato tutayafanyia kazi.Mmesajiri jina (brand) lakini hakuna mchezaji sasa hivi pale
Ufanisi wake ulikua Madrid , ata kule juve hakufanya la maana zaidi ya watu hadi wakakosa kombe la ligi
Sasa hivi hakabi, yeye anakimbia na move tu
Muoga sana kuingia zile 50-50, anajua akipata majerui makubwa ndio basi tena
Haya mapambio ya mwanzo ila baada ya x-mass au 2022 kabisa tutaimba nyimbo ya aina moja
Mungu atusamehe maan tulimuhukumu kiumbe chake pasipo kuwa na huruma
Wale wakongwe sometime itabidi kwenye dk za jion wanapisha dam changa ziende kujiuliza je nlipaswa nipishwe au??Cavan hatoki,,ila kati ya Sancho na rashford ndy watakaobadilishana namba na green Wood.
Mbele inakuwa
Sancho/rashford kishoto..
Kulia green wood.
Cavan na Ronaldo wanasimama mbele ..
Hapo timu pinzani wataamua kupaki basi au wapaki Lori kabisa..
Ronaldo na Cavan huwezi kuwatoa ili
Waendelee kuwajambisha pale mbele...
Hizo damu changa ndy zimetufiksha hapa.Wale wakongwe sometime itabidi kwenye dk za jion wanapisha dam changa ziende kujiuliza je nlipaswa nipishwe au??
Amesahau rashford anaewatungua sanaKizuri hakunaga kombe la kucheza na chelsea wala tuzo