Jana tu niliposoma habari za city kumuwania Ronaldo, nikajiuliza swali kuwa, Ronaldo atamsaliti mwalimu wake wa upasiaji nyavu (Ole) kipindi akiwa kinda pale United? Leo inatangazwa karudi nyumbani, watatukomaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
Hapana nikiangalia pogba kwa sasa alivyoanza nafarijika wanamuongezea molari had dakika hii lina assist 5 soon litaanza kucheza kitimu sasa walipatie Ruben Neves mzee wa mipasi liendelee kuwa free kule mbele daaaa mchawi hela tu ningeenda uingereza kuchek mech hata moja

Pambana mzee kidogo kidogo tu limbikiza ukiwa na malengo mbona unaenda tu. Sasa Pogba aache ufaza kama ndio mwenye team maana mwenye team yake kaja sasa . 😂😂