Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ndo kwanza match ya pili watu mnamlaumu kocha bado games 36... tuwe na imani na ole... .. hata klop alipofika Liverpool ilimchukua muda ku win epl... so ole apewe muda.
 
ila ile jezi wallahi nikabaki kusema bora pundamilia.
 
Ndo kwanza match ya pili watu mnamlaumu kocha bado games 36... tuwe na imani na ole... .. hata klop alipofika Liverpool ilimchukua muda ku win epl... so ole apewe muda.
Acha kumfananisha Olesendeka na Klopp. Klopp aliwakuta mabeki ni Sakho, Kolo Toure, Benteke, n alike. Na alisema kabisa itamchukua mpaka miaka minne kupata mataji.

Akiwa na magarasa akacheza europa league faina dhidi ya Sevila. Akapoteza. Baada ya kuijenga timu kilichofuata unakijua.
Ukweli ni kwamba Ole ni mdogo sana kwa club kubwa kama United.
 
Antony Martial completed four passes today. Two was because of the kickoffs in both halves
Huenda wale jamaa ijumaa na jumamosi walizitumia kufanya mapenzi siyo mazoezi kila mmoja alionekana kuchoka kuliko kawaida,

Body language ni kama walikuwa wanaomba dakika ziishe watoke uwanjani.
 
Ole is a laissez faire manager na timu nzima iko hivyo hivyo.
 
ni wakati sasa wa antony martial kutolewa kwa mkopo
katika wachezaji wavivu wa man u ni yeye

note
ole anampenda kwasababu anauwezo wa kukaa na mpira muda mrefu
kuwezesha timu kujipanga
 
naona pia ni wakati wa kumweka matic bench na kumweka van berk
pia niwakati wa sancho pamoja na verane pia cavan kuanzi menchi
greenwood ni mzuri ila amwache cavan kwanza
 
OGS should have some guts and drop 1 defensive midfielder. We have to be creative and attacking. Play your best players

We have the best players but you keep delaying to the formation that doesn't work for you consistently.

This line up for next match please.
 
Is Cavani ready and fit?

Pogba should join the attack two defensive midfielders are enough
 
Hivi Lindelof ana makosa gani kwenye timu yetu ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…