Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Unashangaza sana!!!

Misimu yote waliyocheza Scott na Fred against big games tulifanya vizuri kuliko wakiwa hawapo.

Unataka big games zipi ambazo hawaperform ?
Nilikwambia lakini mkuu
 
Jana nimeangalia mechi yenu kwa kweli nimeshindwa kumuelewa Martial ni mchezaji wa namna gani na lengo lake kuwa uwanjani ni nini?

Anacheza kama analazimishwa kucheza
Just imagine mkuu

Haya angalia lingard anarudi man u na kocha anasema ana kazi naye...sasa kweli lingard man u wanini? Sell the huy huko westham. Get cash sell the players ambao hawachezi ingiza pesa tafuta wengine wenye uwezo waje kuliko old people who they are already past their time

Cha msingi ni kumuamini scott mctominay acheze dm kama pesa haiko man u watu mbna wanabadilika antonia wanasema alikua winga mpaka sahv ni straika mzuri tu wakina bale stori zao si zinajulikana. Cha msingi ni kocha aonyeshe anajaribu kuleta changes kwenye timu na sio kila siku kutegemea watu washambulie ndo tushinde mechi kwa fast counters kwa kweli if there was a time man u needed a coach change it is now aisee
 
Katika mchezo wa mpira wa mguu ukimpata viongozi/kocha ambaye hayupo sirious basi hadi wachezani wanakosa umakini mchozoni kwasababu wanafuata na kuangalia anachofanya kosa au viongozi wao.

Unaona kinachowapa Arsenal sasa; mchezo unataka viongozi wa makini sana...ukizingua unakula kona.
eeded a coach change it is now aisee
 
Mda mwingi umekuwa ukilisema hili na ndiyo ukweli wenyewe huo, kocha amekuwa muoga kupitiliza.
Hakika mkuu,,

Hivi timu Kama Southampton ni timu ya kuweka double DM?
Hivi tunajilinda nn kwanza!

Timu ilitakiwa tuweke mziki wa 433
Mactomy chini juu pogba na Bruno.
Pembeni greenwood na Sancho.

Anatuwekea akina James na matic na Fred...

Ole ndy tatizo kwa sasa man u.

He is not serious na makombe
 
Inasikitisha sana kutoka kuwafunga 9 mpaka droo. Okay watu wanasema ndo kwanza mechi ya pili ni sawa tukija kustuka tumepitwa point 10 tunarudi kukimbizana na top 4.
Badae mkibakisha mechi tano mnakomaa na top halafu mnaanza kumsifia ole.

Olesendeka ameshawaweza ..yeye anang'ata na kupuliza tu
 
Ole ni maskini ambaye haamini katika utajiri yeye anaridhika na anachopata tu ..wapi Kitoabu au yuko shimoni? Isije ikawa amefukiwa na ngema..
 
Nilishasema mfumo wa mactomy na Fred ndy utatukosesha ubingwa msimu huu..

Anapaswa bora ampange Mac tommy tumtumie kama DM ,bila Fred.

Tucheze 433.
Fernandes na Pogba wote ni weupe linapokuja swala la kukeep serious possession na kukaba..hiyo 433 huyo dm inabidi sijui awaje..mfano jana Fernandes amecheza kilaini akanyanganywa mpira tukafungwa.

If tunaenda na 433..basi hata Bruno na Paul wanahitajika kubadilika.

Tuna Matic McTominay na Fred ambao wote hawatoshi..na Ole atatumia hiki kichaka kujificha.
 
Ole ni maskini ambaye haamini katika utajiri yeye anaridhika na anachopata tu ..wapi Kitoabu au yuko shimoni? Isije ikawa amefukiwa na ngema..
Kwani sare ndio tumeanza kutoa sisi?
Lawama zingine hazina kichwa wala miguu!
Ole kosa lake ni lipi?

Nb. Bado ninaimani na Ole, ata tuvusha hapa tulipo.
 
Jana wachezaji ndio wamecheza ushubwada, siolioni kosa la kocha.
Fernandez jana kambwela, Martial ndio pumba kabisa.
 
MY EARLY STARTING XI VS WOLVES JUMAPILI

=======

De Gea

AWB Lindelof Maguire Shaw

Fernandes McTominay Pogba

Greenwood Cavani Sancho

======


Wachezaji hawajitumi Ole anakunja tu nne juu pale kwenye kiti..

Aggressiveness yetu ipo chini sana..na tukiendelea hivi hata baada ya miaka kumi tutazidi kusindikiza tu watu bila trophy.

What the fuc.k...yaani uongozi wa timu hii umeshindwa kuwaoffload kina;

✓Lingard

✓Phil Jones

✓Perreira

✓Brandon Williams

✓Daniel James

✓Matic

Tunaendelea kukaa na vijitu goigoi..
Ongezea na useless players wengine kama;

✓Donny Van De Beek

✓Martial

Hii timu haina watu walio serious kuanzia Uongozi hadi Benchi la ufundi.

And what the f.uck was that yesterday away kit?.
 
Tunahitaji DM mfano wa Carrick.

Mtu mgumu ambaye atazuia na kupandisha timu..

Mbona carick alikuwa vzr tu?.

Mtu Mwenye pasi za macho,
Mwenye uwezo wa kuhamisha mipira,upande hadi upande.
Mbona vipaji vipi kibao tu? Huko France na Italy,Brazilian kibao tu,tena hawana majina.

Fred ni saa mbovu.
Mac tommy still uwezo ushafika mwisho,hana maajabu tena.
Matic umri ushamtupa.

Tucheze kama enzi ya feggy..433.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…