Mimi nadhani tumuamini tu Mason hapo mbele na cavani akirudi wanatosha labda huyo middle mmoja basi ila striker tuachane nao kwa sasa tupate middle defensive tutulie. Tusipomuamini Mason tutamuamini lini?? Mpaka afike 25.

Ukiacha habari ya Diallo,huyu Pellistri tumemkosea sana kumtoa kwa mkopo na kumuacha James ndani ya nyumba.
Ila yote kwa yote tumuachie Ole afanye anavyojua yeye,mwisho wa siku tunyanyue kwapa.