Jamani ee, tumuangazieni Pogba, hivi kweli tumuuze?
Mh, mi nimebadili msimamo.
Inatakiwa kwa hali yoyote ile jamaa abaki, ikibidi apewe hata kisima kimoja cha mafuta, ilimradi abaki tu.
Tukimuuza mtu kama huyo, tunakua tume rudi nyuma hatua sita.
James atolewe kwa mkopo, bado sana kupata namba huyu mtoto, nashangaa taarifa za juzi eti Ole anamtoa kwa mkopo Amad, anamuacha James, hata Pellistri ni mara 2 ya James basi tu