Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Uzuri wake msimamia mazoezi anamaliza nafasi za juu kwenye ligi kushinda makocha.


Sasa kumbe akikaza msimu huu anaweza kuwa bingwa, ligi si haina fainali.


4, 3, 2,.....
Msimu huu man u kuingia top 6 ni sawa na ngamia kupita kwenye tundu la sindano
 
Tukubaliane kabla ligi haijaanza

Sosha ni msimamizi wa mazoezi, yani ata kombe la mapinduzi hakuna

Kwa sababu mlivyokua vichwa maji, mkishinda game mbili au tatu huwa mnasahau kabisa
Arteta kachukua kombe gani msimu uliopita?
Na msimu huu anaishuka daraja kabisa.
 
Mkuu ingia gougle uliza 10 DM man u could buy for cheap.

Watakuja kibao tu.
Tumeshuhudia euro 2021 kuna inchi zina wachezaji wazuri na hawana majina.
Mkuu si ututajie tu kwanini tuende Google wakati wewe umeleta hoja humu tena specifically Russia na South America
 
Hivi kweli Messi ndio tumeshindwa kumpata..
Tungempata mauzo ya Jersey tu yalitosha kulipa mshahara wake vizuri tu.
uwezo wa kumpata tunao lakini Yeye iuja italeta mambo kama ya Sanchez....alafu wachezaji wemgine kwenye kunegotiate mikataba wataanza kutaka paund 800 huko hiyo itaharibu timu kama barca
 
Dah..mkuu kwani box to bov ni nn unavyojuwa wewe?

Ni kama Fred .
Anakuwa wanacheza sn chini
Au box to box ni nn mkuu?
Labda nieleweshe?
Ngoja niseme kitu.....Box to Box midfielder sio kiungo mzuiaji japo anazuia kwamaana Box to Box anatakiwa kucheza kwenye mabox yote mawili la kwake na la adui......

Yani tukishambuliwa akabe sana na tukipata mpira aende mbele ashambulie kwenye box la wapinzani.....ni CM ambae anacheza mabox yote mawili
 
Box to box ni cdm anakuwa sana atembei juu,,

Wanacheza sn chini.
 
Mkuu si ututajie tu kwanini tuende Google wakati wewe umeleta hoja humu tena specifically Russia na South America
Duniani cdm ni camavinga tu? Nimekwambiya Brazil,Russia,, Argentina kuna watu wana balaa,
Lakini hawajapewa nafasi ya kutafutwa.
Na kuonyesha uwezo wao, tena so cheap.

Kwani kazi ya man u scouts ni nn? Au mchezaji hadi aonekane kwenye league 1,au premiere league, au laliga? Au bundersiliga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…