Ligi yoyotte lazima kuwe na idadi ya wazawa,Niliwahi kusema.
Kutoa hela nyingi kwa wachezaji wa kingereza sio sahihi.
Ni wachezaji average sana ila ni gharama mno. No value for money.
Angalia Harry Kane anataka kuondoka Spurs. Ila hakuna timu ilioonesha serious kutaka mchukua.
Grealish unadhani ana hiyo thamani? Ame prove nini cha kumfanya anunuliwe kwa hiyo hela?
Verane tumetoa 45M ila Maguire tumetoa 80M. Wana utofauti upi?
Bruno angekuwa muingereza price tag yake ingekuwa not less than 120M.
Kuna wakati tuangalie vipaji toka nje ya UK.
Ila hii tabia ya kukumbatia hawa waingereza inazidi igharimu timu. Hakuna wachezaji wenye akili ya mpira. Mabenteke ndo yamejaa.
Bei alionunuliwa Bissaka alitakiwa apige kazi kama kina Dani Alves. Ila hakuna maajabu yeyote. Leo tunawaza tena kumchukua beki mwingine.
Kisheria tuna nafasi moja tu ya mchezaji mwenye uraia tofauti na Uingereza, kama tukisajili wachezaji wawili (kama ripoti zinavyodai) tegemea mmoja wao ni Muingereza mwingine anakuja.Niliwahi kusema.
Kutoa hela nyingi kwa wachezaji wa kingereza sio sahihi.
Ni wachezaji average sana ila ni gharama mno. No value for money.
Angalia Harry Kane anataka kuondoka Spurs. Ila hakuna timu ilioonesha serious kutaka mchukua.
Grealish unadhani ana hiyo thamani? Ame prove nini cha kumfanya anunuliwe kwa hiyo hela?
Verane tumetoa 45M ila Maguire tumetoa 80M. Wana utofauti upi?
Bruno angekuwa muingereza price tag yake ingekuwa not less than 120M.
Kuna wakati tuangalie vipaji toka nje ya UK.
Ila hii tabia ya kukumbatia hawa waingereza inazidi igharimu timu. Hakuna wachezaji wenye akili ya mpira. Mabenteke ndo yamejaa.
Bei alionunuliwa Bissaka alitakiwa apige kazi kama kina Dani Alves. Ila hakuna maajabu yeyote. Leo tunawaza tena kumchukua beki mwingine.
hizo big games ambazo zote tumeshinda tumepotezwa vibaya pamoja na kwamba tumeshinda mpira tunaomba uishe sisi hivi umeangalia kweli kocha mpya wa chelsea aneo lake la kiungo ukija na kwetu? yaani hata arsenal walitumudu sana kiungo mech zote mbili mpate mtu kama Ruben Neves pogba na bruno uone moto wakeUnashangaza sana!!!
Misimu yote waliyocheza Scott na Fred against big games tulifanya vizuri kuliko wakiwa hawapo.
Unataka big games zipi ambazo hawaperform ?
Kwenye football kuna vitu viwili Current Ability (CA) na Potential Ability (PA).Watu wakuuza kazi kuwatoa kwa mkopo tu uza hizo species tupunguze watu kikosini wasio na faida.
Hebu wataje hao DM walio Russia na America kusini. Wazuri wenye kiwango cha kucheza EPL na wanauzwa bei ndogo.Ajabu kabisa..wakati kuna DM Russia na America kusini hawana majina lakini ni balaa .
Tungeweza kuwapata hata kwa 10 milioni.
iko sawa kabisa au tumrudishe uwanjani crouch aje akipige badala ya martial.Wakuu, mnaona vipi kama tukimuuza Martial au Pogba tukaongezea pesa kidogo tukamchukua Christian Benteke.
Dany Ings ndio ivyo tushamkosa kimasiara tu.
Wakuu, mnaona vipi kama tukimuuza Martial au Pogba tukaongezea pesa kidogo tukamchukua Christian Benteke.
Dany Ings ndio ivyo tushamkosa kimasiara tu.
Box to box ndiyo DM ?Niliisoma sehem kwenye fan page ya man uView attachment 1885922
Teh teh teh[emoji23][emoji23][emoji23]Hebu wataje hao DM walio Russia na America kusini. Wazuri wenye kiwango cha kucheza EPL na wanauzwa bei ndogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu tutajie mkuu hao DM balaa huko Asia na Russia ?Ajabu kabisa..wakati kuna DM Russia na America kusini hawana majina lakini ni balaa .
Tungeweza kuwapata hata kwa 10 milioni.
Huyo Ruben Neves hawezi kuwa sawa na Fred katika ukabajihizo big games ambazo zote tumeshinda tumepotezwa vibaya pamoja na kwamba tumeshinda mpira tunaomba uishe sisi hivi umeangalia kweli kocha mpya wa chelsea aneo lake la kiungo ukija na kwetu? yaani hata arsenal walitumudu sana kiungo mech zote mbili mpate mtu kama Ruben Neves pogba na bruno uone moto wake
mbele sancho,cavan na rashford au greenwood unaumia mapema sana
Bado aiseeBado hajafukuzwa tu