Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Lukaku Deal Done HERE WE GO!! wataalamu mnazungumziaje huu usajili. €115M View attachment 1884281
Hakuna klabu inayofanya mambo aggresively kama Chelsea na inawalipa..

Sisi kusajili tu wawili Sancho na Varane tunaona tumemalizaaaa,wakati ilibidi tushushe vifaa vingine viwili ili tuende head to head na hawa wengine when squad power is concerned.
 
Hahahaha
, msimu uliopita tulipigwa kwa Werner, Harvetz tukabeba UCL.

Msimu huu tunapigwa kwa Lukaku na Kounde tutabeba EPL + UCL

Naongelea bei mzee, LUKAKU sio mbaya, ila hizo hela mnazolipa asee!

Maguire anazidi kuwa ndorobo na itafanya aperform maana mambo ya price yatakuwa kwenu na City.

Jack 100m duh!
 
Hakuna klabu inayofanya mambo aggresively kama Chelsea na inawalipa..

Sisi kusajili tu wawili Sancho na Varane tunaona tumemalizaaaa,wakati ilibidi tushushe vifaa vingine viwili ili tuende head to head na hawa wengine when squad power is concerned.
Mkuu Chelsea wanasajili kama Yanga tu.
Utasajili vipi kikosi kizima kila msimu?

Me nadhani tuongeze mchezaji mmoja tu (DM) inatosha.
 
Mkuu Chelsea wanasajili kama Yanga tu.
Utasajili vipi kikosi kizima kila msimu?

Me nadhani tuongeze mchezaji mmoja tu (DM) inatosha.
Chelsea kasajili kikosi kizima lini tena mzee?
Upo misitu ya Mocambique huko ndanindani kiasi kwamba hujui Hadi kinachoendelea duniani

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Chelsea kasajili kikosi kizima lini tena mzee?
Upo misitu ya Mocambique huko ndanindani kiasi kwamba hujui Hadi kinachoendelea duniani

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Nyie hamuoni sajili zenu?
Mfano msimu ulio pita mumesajili wachezaji wa 5 na wote wameingia kikosi cha kwanza, hiyo si kama Yanga tu.

Mwaka huu mumeanza na Kiloba cha maharage, kisha kwa Kunde na hapo tegemea taka taka nyingine kuongezwa, na zote zinaenda kuanza kikosi cha kwanza.

Hapo munatofauti gani na timu za ligi ya Tanzania?

Chelsea haijawahi kuwa na kikosi cha kudumu, kila baada ya misimu miwili kikosi ni kipya kabisa.
 
Tulitoka kufungiwa usajili na kwenye kikosi chetu kulikuwa na madhaifu makubwa nafasi nyingi ndo maan tukafanya sajili hizo .....toka toka kidogo mjini unapitwa na info nyingi Mzee

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Babu apige kelele asaidiwe DM anunuliwe.
Sio kila msimu tunaanza tukijua kuna pengo ambalo yeye anachukulia kama sababu ya kutofanya vizuri.
Inakuaje tunashindwa kumalizia hii kazi kwa kutoa 30-50$ kununua DM?
Hicho ndy kitakachotukosesha ubingwa 2021/2022./

Anataka kumtumia van de beek kama DM...

Huyu ole chizi kabisa
 
Hakuna unachojua wewe.

Kaa kimya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…