Kwa mtizamo wangu.Nimejaribu kupanga first eleven yetu bila kuangalia fitness na injury..yaani kama tusipo sajili tena our strongest XI itakuwa ndo hiyo..sio kikosi cha kucheza game za ufunguzi za ligi or something.
Swali langu ni kuwa ni kikosi kinachoweza kutupa ubingwa chini ya mbinu za Ole??.
Huyu Ole naye ni kama analetewa wachezaji tu. Sasa kama amemaliza target zake huo mlango kauacha wazi wa kufanya nini?Yaani kwenye usajili sijui tunakwama wapi. Wachezaji wa kawaida ndiyo tuko sokoni wa nguvu tunasepa. Tunaonekana hatuna malengo ya kushinda kikombe chochote musimu huu tena View attachment 1882960
Mimi namfahamu kwa yote matatu mkuuNi huyo huyo, sema jina analofahamika ni Tod Cantwel
Vipi nanyi mmekosa hela ya kumsajili Hallaand!?Mna hela ya kumlipa?
Si rahisi bado kikosi chepesi. Kwenye nafasi ya namba 9 bado panapwaya mana kuna Cavan tu ndio uhakika ila naye umri si rafiki sana. Pia kuwategemea Rashford, Martial na Greenwood ni kama kucheza kamali tu. Ukijumlisha na uwezo Wa Kocha ndio balaa!Nimejaribu kupanga first eleven yetu bila kuangalia fitness na injury..yaani kama tusipo sajili tena our strongest XI itakuwa ndo hiyo..sio kikosi cha kucheza game za ufunguzi za ligi or something.
Swali langu ni kuwa ni kikosi kinachoweza kutupa ubingwa chini ya mbinu za Ole??.
Leo umeongea pointMkuu hii assessment wanatumuaga makocha wengi wakubwa kusajili mchezaji ,takwimu huwa zinaangaliwa lakini sio kigezo kikubwa ...
Mchezaji akiwa kwenye pitch ndio anajiuza ,...
Mtu kama samata anatakwimu nzuri ,ila mwangalie uwanjan anavocheza kwa anayejua mpira ataelewa nachosema....
Hana uwezo wa kuposses mpira hata second 5 ,hawezi kudribble ,
Kupita hata watu wawili ,..,hawezi kuficha mpira anapokuwa na adui ..
Hivyo ni vitu vidogo ,kwa macho ila amini ndio vinambeba mchezaji ...
Grealish hana namba kubwa ya magoli ,ila akiwa na mpira aisee kila mtu yupo na amani uwanjan kuwa ,mpira upo. Sehemu salama ,kwa sababu kumpokonya either umpige rafu au umuache aende..
Van De Beek siyo mkokota mpira ila huwa anautembeza mpira kwa kasi kubwa kuliko kawaida kwa njia ya quick passes.Cantwell juzi katoa assist moja ya kinyama sana huko kwenye pre-season..ni mchezaji mzuri..
Kiungo tu akishaweza kukuota mipira na kuwa na jicho la pasi basi huyo tayari ni fundi..This is lacking kwa kijana wetu Van de Beek.
Laissez faire attitudedean henderson amepewa mapumziko nafikiri alipata corona hivyo upo uwezekano mkubwa wa kuanza ligi na david degea
cavani bado amepewa mapumziko, upo uwezekano wa kuanza ligi huku mshambuliaji akiwa ni greenwood au anthony martial.
kama tutacheza kwa nidhamu kwa dakika 90 za kila mechi kama walivyofanya liverpool misimu miwili iliopita tuna uwezo wa kufanya makubwa bila ya kuangalia maadui wetu wamejipangaje, mechi nyingi tunacheza huku morali ya kuwadhibiti maadui ikiwa ni ndogo (tunazichukulia mechi ni rahisi)
PTER ana maneno yake ya kiengereza anapenda kuyatumia pindi anapomzungumzia Ole na timu yake
Barcelona walipitia situation kama ya kwetu tu kufanya signing kwa panic bila kuzingatia mahitaji muhimu ya timu.barcelona sijui walipatwa na ugonjwa gani uliosababisha kupotea kwa akili za kiuongozi, eti griezmann analipwa takribani euro laki 6 kwa wiki, frankie dejong analipwa takribani euro laki 4.
leo mashabiki wameamua komzomea griezmann pindi alipokuwa anawasili viwanja vya mazoezi, wanaamini uwepo wake ndio sababu ya klabu kushindwa kuafikiana na kanuni zilizowekwa na la liga.
Duuu[emoji16]
Haka katoto kapuuzi nini??...sasa psg na viungo wote wale atacheza kweli?
Saa ngapi?Tupo uwanjani leo vs Toffies
Tisa kasoro roboSaa ngapi?
Poa ndugu!Tisa na dk 55