Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,254
Ole lzm tumuamini, we're always united....nasubiri CB, DM next ntachukua kombe : varane in, camavinga or neves inMkataba mpya na mambo mapya
Hii timu ya kijinga sana.
Hivi United kumpa Ole mkataba mpya haraka thumuni ni nini?
Kumfanya afurahi au nini hasa?.
Ilibidi apewe kandarasi mpya baada ya kufanya vizuri msimu huu unaokuja.
Tuchel alipewa mkataba mpya baada ya kubeba Champions League..
Sisi tunatoa toa tu mikataba kishamba..ndo maana hata wachezaji wetu majipu tunashindwa kuachana nao.
Timo pamoja na kuflop amemfunga Real Madrid tukaingia fainali. Kai pamoja na kuflop lakini amemfunga man city goli moja tu tukabeba UEFA champions league. Therefore timo +Kai wamediliver Na kunyanyua kwapa . Tupe na wewe kina makwaya, Fernandes, na wenzake wamepata nini toka wasajiliwe?hamna shida ni kama wale flops mliozoea wanunua miaka yote mzee....mmesahau shevshenko au mmesahau kepa pia huyo Kai kwa hela mlizonunua anavyocheza poleni wazee......vipi timo werner nae hamjawahi pata mchezaji mzuri mkitoa pesa zaidi ya 60 refer Morata
Anaondoka mwisho wa mwaka huu 2021.Hivi Ed bado yupo Man Utd?
Si alisema anaondoka?