1. Mishahara mikubwa sana isioendana na viwango vyao.ni sababu zipi za msingi zinapolekea wachezaji wetu kushindwa kununuliwa na vilabu vyengine huku vilabu vyengine mfano liverpool na chelsea kiupande wao inakuwa ni rahisi kufanya hivyo?
Shida huwa inakuja utd inapotaka kusajili basi inatajiwa dau nono lkn ikitaka kuuza watu wanaweka ofa mbuzi, nawachora sn huu upuuzi.
Unaongelea punda kama punda wkt avatar yako ni punda halisi
jiandae nakuja kuchukua alama 4 msimu ujao wa ligi
Umeanza kufatilia mpira juzi, hujui chochote kuhusu mpira unajiita city fan, mpira city wameanza ucheza 2012, hatuwezi bishana nawewe batamaji, umejulia mpira uzeeni unaona kila kitu unajua na lugha za dada zako hapo nyumbani unazileta kwa wanaume kenge wewe.....Timu ya kifala sana ,sasa sancho anamaajabu gani ?
Game tu ya kwanza na Leeds united mtakula kipigo cha mbwa koko kudadekiiiiii
Haka kabwana mdogo ni kapumbavu to be precise.Umeanza kufatilia mpira juzi, hujui chochote kuhusu mpira unajiita city fan, mpira city wameanza ucheza 2012, hatuwezi bishana nawewe batamaji, umejulia mpira uzeeni unaona kila kitu unajua na lugha za dada zako hapo nyumbani unazileta kwa wanaume kenge wewe.....
hebu tutajie legend wa timu yenu ni nani, kama hujataja aguero shenzi, haujui hata golikipa wa city wa 2008, unaleta ujinga wa kumjua Sancho,
na hata sancho akiflop wewe inakuumiza nini?
We we mbwa goli kipa wa man utd 2002 alikuwa nani ..Umeanza kufatilia mpira juzi, hujui chochote kuhusu mpira unajiita city fan, mpira city wameanza ucheza 2012, hatuwezi bishana nawewe batamaji, umejulia mpira uzeeni unaona kila kitu unajua na lugha za dada zako hapo nyumbani unazileta kwa wanaume kenge wewe.....
hebu tutajie legend wa timu yenu ni nani, kama hujataja aguero shenzi, haujui hata golikipa wa city wa 2008, unaleta ujinga wa kumjua Sancho,
na hata sancho akiflop wewe inakuumiza nini?
Hunipangii kunguni wewe, ..Umeanza kufatilia mpira juzi, hujui chochote kuhusu mpira unajiita city fan, mpira city wameanza ucheza 2012, hatuwezi bishana nawewe batamaji, umejulia mpira uzeeni unaona kila kitu unajua na lugha za dada zako hapo nyumbani unazileta kwa wanaume kenge wewe.....
hebu tutajie legend wa timu yenu ni nani, kama hujataja aguero shenzi, haujui hata golikipa wa city wa 2008, unaleta ujinga wa kumjua Sancho,
na hata sancho akiflop wewe inakuumiza nini?
Unajiabisha mkuu.Hunipangii kunguni wewe, ..
Hii timu ya kipimbi tu haina tofauti na singida utd ,..
Yaani man utd in takataka tu ..
Msimu mwingine bila kikombe unakuja ,kudadekiii ...
Man city fans na hakuna wakunifanya
Tatizo ni hao vinabo wameofahamu mpira juzi ,then wanataka kunipanda kichwani ...Unajiabisha mkuu.
Wewe ndio unawapanda kichwani, wapo kwenye uzi wao kumbuka, hivyo wana uhuru wa kuandika chochote kile wapendacho kuhusu timu yao ( yetu).Tatizo ni hao vinabo wameofahamu mpira juzi ,then wanataka kunipanda kichwani ...
Jf ni ya kwenu ,humu ndani mnapangia watu wa kufungua Uzi eehWewe ndio unawapanda kichwani, wapo kwenye uzi wao kumbuka, hivyo wana uhuru wa kuandika chochote kile wapendacho kuhusu timu yao ( yetu).
Nashangaa sana mashabiki team pinzani inawauma sana Ole ku renew contract pale OT... Nina uhakika Bodi ya Team kuna kitu imekiona kutoka kwake.Ole Gunnar Solskjaer has signed a new contract with Manchester United. Agreement reached until June 2024.#MUFC
Solskjaer and Man Utd also included an option to extend the agreement until June 2025, official statement confirms. #Solskjaer
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Unajiabisha, unaenda kwenye nyuzi isiyokuhusu afu unaanza kutukana matusi ya nguoni kabisa.Jf ni ya kwenu ,humu ndani mnapangia watu wa kufungua Uzi eeh
Jf for life ,nafungua nyuzi zotee ,
Pamoja na yote Ole asipodeliver kwakweli msimu huu yale tunayo expect atimuliwe tuNashangaa sana mashabiki team pinzani inawauma sana Ole ku renew contract pale OT... Nina uhakika Bodi ya Team kuna kitu imekiona kutoka kwake.
Jamaa amejaribu kuirejesha man u mahali ilipostahili kuwepo... ups and downs ndio sehemu ya mpira
.
.jurgen Klop wakati anafika liverpool alisubiri misimu takribani mi 3 kama sio minne mpka anakuja kunyanyua taji la EPL na UCL (Liverpool walimvumilia haliakua katika kipindi iko naye alipoteza Fainali ya Europa League)
.
.ko naeza kusema tuwe wavumilivu Msimu huu nyote ni mashahidi tulikua kwenye Mbio kabsa za kubeba taji la ligi kuu. Lakin tukaanza kuyumba mwishoni kwa makosa madogo madogo ikiwemo (Set pcs au mipira ilipkufa) na kupelekea kupoteza au ku draw match ambzo tu listahili ushindi
Nina imani msimu huu ni wa neema kwetu united. Mataji +2 ... endapo tukiimarika katika hayaPamoja na yote Ole asipodeliver kwakweli msimu huu yale tunayo expect atimuliwe tu
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app