Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Hii hoja ya weusi umeleta wewe mkuuUyo dogo kuna watu wanamchukulia poa kwakuwa ni mweusi.
Mimi toka msimu wa 2019/2020 nilikuwa tayari Pogba aondoke kwa dau lolote.Binafs jamaa namkubali sana.
Ila huwa sikubali mtu kua juu zaidi ya Club, kwa maringo yake ni bora asepe tu.
Hata hiyo 45 nashauri tulambe tu asije akasepa bure mwakani.
Ni vyema tusajili replacement ya Pogba tumwache aende ameshindwa kufikia matarajio yetu au Sisi tumeshindwa kufikia matarajio yake.wiki tano hizi zilizobakia tutasikia tetesi nyingi sana zinazohusu wachezaji wanaocheza eneo la kiungo na ishu kubwa sana si tu thamani ya mchezaji husika tutakayohitaji kulipa bali ni ku-analyse ubora wake na madhaifu yake,
nje ya mustakabali wa paul pogba tayari tulishaweka mipango ya kusajili kiungo wa kuongezea nguvu atakayevuka ubora wa mcfred na scouts wamefika hadi afrika kutafuta mchezaji husika hii ina maana ya kwamba klabu ipo serious na sasa imeongezeka ishu ya pogba japokuwa taarifa rasmi za kutosaini mkataba mpya hazijazungumzwa na waandishi wenye nguvu
juventus walikuwa wapo tayari kumsajili msimu uliopita kwa dau bora zaidi ya hilo wanalotaka kulipa Paris, bahati mbaya corona iliwafilisi kifedha na kimipango.Mimi toka msimu wa 2019/2020 nilikuwa tayari Pogba aondoke kwa dau lolote.
Ni vyema tusajili replacement ya Pogba tumwache aende ameshindwa kufikia matarajio yetu au Sisi tumeshindwa kufikia matarajio yake.
3.Andre Silva.View attachment 1864660
- erling haaland
- calvert lewin
- -----------------
andre silva ameshasajiliwa na leipzig, kumuondoa msimu ujao patahitajika bajeti ilioshiba kama ataendeleza moto wa kufunga magoli.3.Andre Silva.
4. Patrick Schick
Pogba kuendelea kubaki United kutatuchelewesha kujenga timu inayojitegemea kuliko kuendelea kutafuta viraka vya kumfanya afanye vizuri.paul ni mchezaji hodari sana anapokuwa kwenye ubora wake na hata huko sokoni ni wachezaji wachache sana wanaolingana naye kiubora ila huenda ndoa yake dhidi ya manchester united haina baraka na mbingu hivyo ni bora kwa pande zote mbili kufikia maamuzi yatakayonufaisha mustakabali wa baadae kwa pande zote mbili.
mkataba mpya hautokuwa suluhisho bora kwa pande mbili hizo
Ni mchezaji wa Borussia Monchengladbach na timu ya taifa ya Czech Republic.andre silva ameshasajiliwa na leipzig, kumuondoa msimu ujao patahitajika bajeti ilioshiba kama ataendeleza moto wa kufunga magoli.
Patrick Schick simfahamu
madhara mengine ya kuendelea kumshikilia ni kuzidi kuupanua mfumo wa malipo ya mishahara mikubwa kwa wachezaji, fikiria amekataa msahara wa paundi laki 3.5 kwa wiki na wakati huo huo una mchezaji mfano wa bruno anayecheza vizuri kila wiki na anahitajika kupewa mkataba mpya.Pogba kuendelea kubaki United kutatuchelewesha kujenga timu inayojitegemea kuliko kuendelea kutafuta viraka vya kumfanya afanye vizuri.
Muda huo haupo labda kama bado hatuna uhitaji wa vikombe.
inaonekana yupo vizuri na si ajabu scouting yetu kama kawaida imeshampitia kitambo sana (wazee wa kusita sita kufanya maamuzi), yaonekana ulimwengu wa soka umepatwa na uhaba wa ghafla wa washambuliaji wenye ubora ukilinganisha na dunia ile ya miaka 20 iliopita iliojaza center forward pamoja na striker wa kutosha kwa kila bara.Ni mchezaji wa Borussia Monchengladbach na timu ya taifa ya Czech Republic.
Sioni tena sababu ya kuendelea kuwa na Pogba kikubwa tupate replacement tu.madhara mengine ya kuendelea kumshikilia ni kuzidi kuupanua mfumo wa malipo ya mishahara mikubwa kwa wachezaji, fikiria amekataa msahara wa paundi laki 3.5 kwa wiki na wakati huo huo una mchezaji mfano wa bruno anayecheza vizuri kila wiki na anahitajika kupewa mkataba mpya.
wakati huo huo umejaza matoto ya kiengereza kama rashford ambayo kwa sasa yanalipwa paundi laki mbili na upuuzi
tusipokuwa makini tutakuwa barcelona ya pili kwa kulipa wage bills za kipuuzi