D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,646
- 121,057
hii timu ya wanawake familia ya glazer inaelekea kuwashinda, nafikiri huyo atakuwa mchezaji wanne kuondoka, wiki mbili zilizopita nilikutana na taarifa inayowahusu wachezaji wa hiyo timu wamepanga kwenda kutafuta ushauri kwa chama cha wachezaji wa kulipwa juu ya mustakabali wao kwani mpaka sasa hajajulikana kocha mpyaLauren James ameachana na kikosi cha Casey Stone na sasa atajiunga na Club ya Chelsea anayocheza kaka yake Reece James.
Alikuwa ni mchezaji muhimu kwenye kikosi cha Casey Stone lakini hakuna jinsi Chelsea wamefanikiwa kumshawishi kujiunga nao.
umefanya upembuzi yakinifu juu ya maguireIla tatizo hilo hata England lilikuwepo wachezaji waliokuwa vizur kucheza kona ni Maguire na Jonstones wengine walikuwa wasindikizaji tu.
Mpaka wenzie wanamcheka.....huyu ni nchimbi kabisamuone sasaView attachment 1850522
alitaka kuangua naziMpaka wenzie wanamcheka.....huyu ni nchimbi kabisa
Jamaa ni strong sana kwenye aerial duels na positioning pia yupo vizuri ila kuna wakati huwa anapoteza concentration.umefanya upembuzi yakinifu juu ya maguire
View attachment 1852836
Tunaanza na injury kwa key player so sad labda Anthony Martial awe amepona upande wa kushoto utapwaya sana.sidhani kama sir alex angelikubaliana na huu mpango wa rashford kuichezea timu ya taifa badala ya kwenda kutibiwa.
View attachment 1852828
View attachment 1852832
Kuondoka kwa Casey Stone na hakuna kocha mwingine aliyeajiriwa kunatia mashaka kama Glazers wanampango wowote na soka la wanawake.hii timu ya wanawake familia ya glazer inaelekea kuwashinda, nafikiri huyo atakuwa mchezaji wanne kuondoka, wiki mbili zilizopita nilikutana na taarifa inayowahusu wachezaji wa hiyo timu wamepanga kwenda kutafuta ushauri kwa chama cha wachezaji wa kulipwa juu ya mustakabali wao kwani mpaka sasa hajajulikana kocha mpya
==========
nimeshangazwa na gharama za usajili wake, hawa wachezaji wa kike bado wanapatikana kwa bei ya kawaida sana.
amenunuliwa kwa rekodi ya paundi laki 2 itakayoongezeka mpaka kufikia laki 3.
huo ni mshahara wa david de gea
Angesacrifice tu hiyo Euro..sidhani kama sir alex angelikubaliana na huu mpango wa rashford kuichezea timu ya taifa badala ya kwenda kutibiwa.
View attachment 1852828
View attachment 1852832