Phil Foden angefaa zaidi kucheza ule mchezo dhidi ya Bukayo Saka.
Pia Jadon Sancho angefaa kuingia mapema nafasi ya Raheem Sterling.
Sikuona umuhimu kuanza na Kieren Trippier mbele ya Jack Grealish. Ni kama aliingia na defensive mentality.
1.Phil Foden alipata majeraha mazoezini hivyo hakuwa fit.
2. Alianza na Kierian Trippier ili kumtumia Walker kwenye back 3.
3. Kumtoa Sterling kungepunguza threat sana kwa Italy kwa sababu Sterling kwenye mashindano haya amekuwa bora sana kwenye kikosi cha England ndiyo mwenye magoli mengi kuliko wengine.
4. Alimwingiza Bukayo Saka kwa sababu Saka ni mzuri defensively kuliko Sancho na Rashford, kumbuka Bukayo huwa anacheza kama wingback pale Arsenal na hata kwenye mashindano haya amekuwa vizuri pia.
5. Wachezaji ambao jana hawakuwa mchezoni sana ni Mason Mount pamoja na Declan Rice walichoka mapema sana.
6 alitakiwa amtoe mapema Mason Mount aingie Grealish then Sancho angekuja baadae sana.
All in all makosa makubwa aliyoyafanya Southgate ni selection ya wapiga penalty alichagua wachezaji wawili ambao hawakuwa mchezoni kabisa ni heri angempa penalty ya tatu Grealish kisha zingine ndiyo akabeti.
1. Jack Grealish anacheza deadball zote Aston Villa.
2. Jordan Henderson anacheza deadball nyingi tu pale Liverpool
3. Kierian Trippier ni deadball specialist mzuri tu.
4. Luke Shaw pia anapiga deadball vizuri tu.
5. Harry Kane halikadhalika.
Sema kwenye mchezo wa jana huenda wengine waligoma kwenda kupiga huwezi jua.
Yawezekana pia Gareth Southgate hakujiandaa kwa matuta ndiyo maana aliamua kubeti dakika za mwisho kwa kuwaingiza Rashford na Sancho.
NB kukosa penalty ni jambo la kawaida mashindanoni.