Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sijui wamefikaje fainali

Wana kelele sana mbwa hawa

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Wako vzr ukweli usemwe tu, mda mrefu nilikuwa nawaangalia tangu Uefa Nations nikawaambia watu kwamba co muda mrefu England itafanya maajabu cz wako serious na wanachotaka na walipunguza mbwembwe zilizokuwa zikiwaharibia.
 
Sometimes mchezaji anaweza kuwa naturally ni Attacking Midfielder lakini akapewa role ya kucheza km DM.
 
Unataka uniambie Dunia yetu kwa sasa wafungaji ni Ings na Kane tu.
 
Umeipata ?
Umehamisha sana magoli,,, kwa sasa kuipata comment yako ile ni ngumu.

Ila nakumbuka ulisema mfumo wa diamond atacheza pogba ,Sancho, rashford na double DM.

Nikakupinga mm.
 
Guys, hivi kitendo cha southgate kuwaweka rashford na sacho mechi ya semifinal kina implications gani?
 
Mbona vilevile tu mzee..

Yaani shida ni kuwa kuna wachezaji personally tunawachukia when United is concerned.
Kinachom cost Mquire ni ile price tag £80m

Kingine ni ule msemo, nabii hakubaliki kwao

Akicheza, wewe shabikia timu nyingine ndio utaona jinsi alivyo mchezaji muhimu

Mimi mpaka kesho, ninaamini angecheza Europa final, tungebeba ndoo

Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…