Tunaweza kum-offload Anthony Martial ($200k/weekly) pamoja na pesa tutakayoipata baada ya kumuuza hata kwa Pound 30M mahala popote tukaongezea ktk mshahara wa La Pulga. Nina uhakika hawezi kugoma kupokea $350k ~ $400k/weekly kwa mwaka mmoja.
Pia mchezaji mwingine anayepaswa kuonyeshwa mlango wa kutokea ni David Degea. Hatuwezi kuendelea kutumia zaidi ya $450k/weekly kwa magolipa wawili, Dean $100k, David $350k. Haki ya nani Ed Woodward alikuwa mjinga sana. Niliwahi kuandika hapa madhara ya kulipa mishahara mikubwa kizembe zembe bila kutizama mbali.
Tulipaswa kuwa na capped-salary policy hutaki ondoka. Hakuna mchezaji yeyote yule aliyepo Manchester United anaweza kupokea mshahara tunaomlipa sisi nje ya hii timu yetu. Tulikuwa na mtendaji mkuu boga sana.