wanafanana tukwa nilivyomuona mbappe toka Uefa iliyopita hadi hizi Euro aiseh sitakuja tena kumlaumu Rashford.....na wala rashford sio mchezaji gharasa
Mkimaliza top 2? Bila kombe lolote?Sisi mashabiki na Media tutaquestion uwezo wake vizuri..achana na hii pressure mkuu.
Yaani let's say next season tunamaliza nje ya top four na bila kombe lolote..kitu ambacho kinawezekana vizuri tu,msimu wa 2022/2023 Ole atakuwa on the wheel?
Ndo wachezaji wa zama hizi.kwa nilivyomuona mbappe toka Uefa iliyopita hadi hizi Euro aiseh sitakuja tena kumlaumu Rashford.....na wala rashford sio mchezaji gharasa
Kwa upande wangu itabidi atupishe..Mkimaliza top 2? Bila kombe lolote?
Alisema next season ni ubingwa EPL baada ya kusema tulianza nafasi ya 4,3,2 for the last 3 seasons kwaiyo nafasi ya 1 ni next seasons.Kwa upande wangu itabidi atupishe..
Rashford tunamnanga kwa sababu ya ubinafsi wake tu lakini ni mchezaji mzuri sana kwa age yakekwa nilivyomuona mbappe toka Uefa iliyopita hadi hizi Euro aiseh sitakuja tena kumlaumu Rashford.....na wala rashford sio mchezaji gharasa
Kilichokuwa kinatugharimu hapa tulikuwa tukitumia British model (obsolute now) ambayo inampa mamlaka kamili kocha la kufanya lolote na timu hata kuuza majembe maana hana immediate football boss. ( The Brits model has proven to be like playing Russian roulette)Kocha anaondoa majembe anabakisha vilaza.
Akija kocha mwingine atataka watu wengine upya.
Tatizo la United lipo chini sana kuliko tunavyodhania.
Kuna wachezaji wameondolea hawakutakiwa kuondoka na kuna wachezaji wamebaki hawakutakiwa kubaki.
Hii ndo inahitajika kwa sasa.Kilichokuwa kinatugharimu hapa tulikuwa tukitumia British model (obsolute now) ambayo inampa mamlaka kamili kocha la kufanya lolote na timu hata kuuza majembe maana hana immediate football boss. ( The Brits model has proven to be like playing Russian roulette)
European model ambayo kwa sasa tupo ktk transition ndio best, You just need proper football men in the Director of football role and Transfer Chief, they decide what kind of football is played, the players who suit the style of play and crucially a coach who fits the player and club.
Mbona inshu ya Hererra ilishaelezewa humu, sana.Mtu wa namna hiyo pale United tulimpata ila Ole kwa ujinga wake mwenyewe akamwacha akaenda.
Ander Hererra ndiyo mchezaji aliyekuwa na discipline ya hali ya juu sana uwanjani kuliko mchezaji yoyote wa United kumshuhudia post Ferguson Era,
Alikuwa tayari kucheza namba yoyote uwanjani kufanya kazi chafu yoyote uwanjani ili timu ishinde.
Mourinho alimpenda sana Herrera kwa kazi kama hizo, wachezaji aina ya Herrera na Park siyo lazima acheze mechi zote msimu mzima wao wana mechi zao maalumu na mechi hizo ndiyo decisive kwenye kuamua hatima ya msimu wako kwenye ligi.
Herrera alifaa kuwa captain wa united siyo kuacha aondoke kwa free transfer.
Kwa jinsi nilivyomuona Kalvin Phillip's leo ni heri tutumie pesa nyingi kumsajili yeye na siyo Declan Rice.
Ndani ya hii European model kocha hakai muda mrefu kama habebi makombe. Mabosi wake (DoF & Transfer Chief) wanamkalia kooni muda wote maana na wao wanapaswa kujibu kwa mtendaji mkuu na bodi. Huu mfumo unatumika pia na Real Madrid, Barcelona, Bayern, Juve, Man City..Hii ndo inahitajika kwa sasa.
Bora kocha aondoke kuliko wachezaji wa muhimu.
Kumpata kocha mwingine ni rahisi kuliko mchezaji wa muhimu.
You're joking, right? Waingereza wana gharama kubwa sana pia usiwaamini. Hawa tuwapandishe tu kutoka timu za watoto, hatupaswi kupoteza pesa kuwanunua.Kwa jinsi nilivyomuona Kalvin Phillip's leo ni heri tutumie pesa nyingi kumsajili yeye na siyo Declan Rice.
Huwa inaishia hvyo hvyo.