Haya ni maajabu mengine kuhusu wachezaji wa man utd wakiwa na timu zao za taifa.
bailly anatengenezewa njia ya kuuzwa kwa jumla ndio maana klabu inataka kumtoa kwa mkopo tuanzebe ili azidi kupata uzoefu.Bailly
Tuanzebe
Phil Jones
These guys must go.
Mwanzoni nilijua ni mizaha ya kwenye mitandao tuAtlético Madrid turned down an opening proposal from Manchester United for Kieran Trippier. Price tag still around €40m to sell the right back. Flag of England #MUFC #Atletic
============
jamani hii habari muliwahi kuipata, timu iliofanya uchunguzi wa takribani mabeki 800 wenye uwezo wa kucheza upande wa kulia miaka miwili iliopita, leo hii inatafuta tena mlinzi wa kulia
😀😀😀
Man Utd tracked 804 right-backs before signing Aaron Wan-Bissaka
Manchester United chiefs took their time signing a right-back in the summer before settling for Aaron Wan-Bissakawww.dailystar.co.uk
Man United are looking for the next N'Golo Kante after French scouting mistakes
In the last two summers N'Golo Kante transferred Man United signed Frenchmen yet are pining for Chelsea's pocket dynamo, or someone like him.www.manchestereveningnews.co.uk
tena mara hii tunatafuta kikongweMwanzoni nilijua ni mizaha ya kwenye mitandao tu
"Fergie factor" inatutesa kila upande 😌😌tena mara hii tunatafuta kikongwe
bado hatujatulia na kinachotufanya tusitulie ni mafanikio ya haraka ya wenzetu"Fergie factor" inatutesa kila upande 😌😌
Na kufanya mambo kwa kuzingatia tamaduni yetu kwanza wakati dunia ya soka imebadilika sana siku hizibado hatujatulia na kinachotufanya tusitulie ni mafanikio ya haraka ya wenzetu
Mwisho wa siku Ole ndo anaeonekana hajui anachofanya.Nilikuwa sehemu ya ule mjadala wa kijinga na nilikuwa sehemu ya wanafiki (siku nitamsifu romelu, siku nitamtukana romelu),
tuliaminishwa mfumo wa Ole unamhitaji mshambuliaji anayeweza kutokea pembeni na ili uwe na uwezo wa kutokea pembeni unatakiwa uwe na speed, miguso ya uhakika ya mpira (first touch), umiliki wa uhakika wa mpira (ball control).
romelu japokuwa sikuongezei chochote kwenye maisha yako ila bado nitakuomba msamaha.
tamaduni yetu ni ipi?Na kufanya mambo kwa kuzingatia tamaduni yetu kwanza wakati dunia ya soka imebadilika sana siku hizi
ok namuondoa lukaku kwa madhaifu haya namleta mchezaji mfano wa ronaldo de lima au rooneyMwisho wa siku Ole ndo anaeonekana hajui anachofanya.
Unauza Lukaku unaleta Ighalo anaishia kukaa benchi. Unamleta tena Cavan anafanya kile Lukaku angefanya.
Nadhani Ole atakuwa anaijua zaidi maana kila siku anatafuta wachezaji wenye DNA za manchester.tamaduni yetu ni ipi?
Nadhani negotiator wa upande wa pili wanajua dhaifu wetu kuwa hatuna option B kwenye suala la wing wa kulia au negotiator atakuwa ni Matt Judge kwa maelekezo ya Ed.negotiators wetu wana tatizo gani, kama tulishindwa kushusha bei ya maguire na wan bissaka tutaweza kwa sancho.
unauziwa wan bissaka paundi millioni 50
#mufc have had a £67m offer for Jadon Sancho, rejected by Borussia Dortmund, who have set the forward’s price at £77.5m.
kama watakuwa wote ni mfano wa hao uliowataja basi si vibaya, ila kama watakuwa na uwezo huu tulioushuhudia kwa wachezaji mfano wa wes brown, john oshea, gibson, cleverley tutakuwa tunakosea sana kwa sababu takribani timu zote kubwa kwa sasa zinajidhati au kujihakikishia wanakuwa na kundi bora la wachezaji.Nadhani Ole atakuwa anaijua zaidi maana kila siku anatafuta wachezaji wenye DNA za manchester.
Nafikiri ni kutafuta wachezaji wa kariba ya rooney,scholes,giggs,n.k.
basi wawape hela yao na dili litangazweNadhani negotiator wa upande wa pili wanajua dhaifu wetu kuwa hatuna option B kwenye suala la wing wa kulia au negotiator atakuwa ni Matt Judge kwa maelekezo ya Ed.
Nadhani negotiator wa upande wa pili wanajua dhaifu wetu kuwa hatuna option B kwenye suala la wing wa kulia au negotiator atakuwa ni Matt Judge kwa maelekezo ya Ed.negotiators wetu wana tatizo gani, kama tulishindwa kushusha bei ya maguire na wan bissaka tutaweza kwa sancho.
unauziwa wan bissaka paundi millioni 50
#mufc have had a £67m offer for Jadon Sancho, rejected by Borussia Dortmund, who have set the forward’s price at £77.5m.
mchezo wa mpira wa miguu unabadilika, now tumehamia kwenye ulimwengu wa kutegemea zaidi mfumo na si kipaji cha mchezaji mmoja mmoja.Mfumo wa kiuchezaji wa timu unaotegemea zaidi winga kufanya mashambulizi
Pasi chache ndefu kufika langoni mwa adui.
Fikiria katika kuzunguka kote kwa option 804 za right back,hiyo DNA ikaonekana ndani ya Aaron wan bisaka!kama watakuwa wote ni mfano wa hao uliowataja basi si vibaya, ila kama watakuwa na uwezo huu tulioushuhudia kwa wachezaji mfano wa wes brown, john oshea, gibson, cleverley tutakuwa tunakosea sana kwa sababu takribani timu zote kubwa kwa sasa zinajidhati au kujihakikishia wanakuwa na kundi bora la wachezaji.
DNA isiwe sababu ya kuwa na midfield tegemeo anayeitwa scott mctominay huku tukimuacha mchezaji kama ruben neves acheze timu pinzani
DNA ya manchester united inatengenezeka wala haiji kwa kuzaliwa tu