Kama hujawahi kuchukua UCL huna hadhi ya kuongea na mabingwa mara 3 wa michuano hiyo.Sasa nyie mnauwezo wa kuchukua nini tena ??
Kwa kikosi chenu cha kina mashoo ,rashford ,pogbaa ,penandez ..
Mnafikiki mnaweza kuchukua kikombe gani hasa ..
Uefa big no
Europa, hamna uwezo
Epl ,hamna pumzi ya kupandisha mlima wa game 38
Fa , hili kombe hamliwezi labisa
Carabao ...hili kombe hata mchezi na machester city B hamna uwezo wa kichukua ....
Sasa hii man utd ya sasa mnaweza kuchukua nini ,labda sahani za shishi food ....!
Mwanangu ndo umetoka mashimoni? Una habari ni michuano gani inaendelea Sasa? Je una taarifa Kama EPL ligi imeshakwisha?Wanaotamani Pogba auzwe siwaelewi wameshiba nini?
Kumuuza Pogba ni sawa na kujipiga dole kisha unuse mwenyewe.
Acha ujinga pang'aa wewee.Mwanangu ndo umetoka mashimoni? Una habari ni michuano gani inaendelea Sasa? Je una taarifa Kama EPL ligi imeshakwisha?
Wewe mbwa tu,kombe lenu la uefa ndio hilii eeeh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama hujawahi kuchukua UCL huna hadhi ya kuongea na mabingwa mara 3 wa michuano hiyo.
kati ya taka taka ulizo zitaja hapo hakuna nisiyo chukua, labda hiyo taka taka Carabao!
Huyo baasha wako alie kufunga final, sisi tulimchezeshea kichapo 2008 na tukatwaa huo upuuzi wenyewe.
kiufupi huna cha kuniambia nikakuelewa.
Wewe kilaza endelea kuchimba chumvi ,unaibuka kama msukule from no where ,league imeshaisha unapayuka kama umeingiziwa ukuniAcha ujinga pang'aa wewee.
Nitoke mashimoni nimekua kenge?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hahaha maana unapoteaga poteaga na kuibuka kama hiv leo umeibuk ndo maana wakulungwa wanauliza Kama una khabari zozote kuhusu soccer unafahamu.?Acha ujinga pang'aa wewee.
Nitoke mashimoni nimekua kenge?
Kuna kitu unatakiwa kujua kuwa kuna manager na makocha, mtu kama ole mimi huwa naona kama ni manager hawez kumcoach mchezaji akawa hatari sana ndiyo maana unamuona pogba akiwa united haperfom kama akiwa timu ya taifa. Ila mchukuwe huyu pogba wa united mpe klop utajua hujuiHuyu Paulo Pogba akicheza timu ya taifa aise utaweza Sema ni binge la mchezaji maana atakichafua hapo kati kwa msaada wa King Ngolo Kante ..ila akija kwenye huu utopolo sasa yani mnaeza juta kumjua. Kwa ufupi Ole hawezi mtumia pogba kabisa.
Itakua unaizungumzia Manchester United ya kwenu Nanyanga.Wewe mbwa tu,kombe lenu la uefa ndio hilii eeeh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kilaza kama wewe sina muda wa kubishana ,hizo historia manzotembelea za miaka ya 90 ,mtakuja kufaaaa
,...
View attachment 1819827
Kuchimba chumvi!Wewe kilaza endelea kuchimba chumvi ,unaibuka kama msukule from no where ,league imeshaisha unapayuka kama umeingiziwa ukuni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siunajua maisha ni kama chupi la mtumba!… kuna siku unaweza kuichagua inayo kutosha…siku nyingine unaichagua ya kuivaa papaa wemba.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hahaha maana unapoteaga poteaga na kuibuka kama hiv leo umeibuk ndo maana wakulungwa wanauliza Kama una khabari zozote kuhusu soccer unafahamu.?
[emoji23][emoji23][emoji23]..mzee wa cabo de glado unanichekeshaga sana.Siunajua maisha ni kama chupi la mtumba!… kuna siku unaweza kuichagua inayo kutosha…siku nyingine unaichagua ya kuivaa papaa wemba.
Yani kama ninja mweusi tu, mara naonekana mara nimepotea, mpaka kieleweke.
Kwa hiyo team ya taifa huwa wananoa wachezaji?Kuna kitu unatakiwa kujua kuwa kuna manager na makocha, mtu kama ole mimi huwa naona kama ni manager hawez kumcoach mchezaji akawa hatari sana ndiyo maana unamuona pogba akiwa united haperfom kama akiwa timu ya taifa. Ila mchukuwe huyu pogba wa united mpe klop utajua hujui
BaillyAxel Tuanzebe will be going out on a full season loan from #mufc.
Aisee Fabrice alikaa sijui siku 3 zile ndio akaamka!Wazungu wanapambana sn, nilikuwa na matumaini kdg cz nilikumbuka issue ya Patrice Muamba.