The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Ilichukua muda mrefu kabla ya cr7 kuwa tegemeo pale Utd licha ya kwamba alikuwa ana deliver na pia graph yake ilikuwa ikipanda kila siku tangu akiwa kinda, lkn hawa nyota wetu wa cku hizi errors kibaooo.Hiyo lazima waanze ndio tatizo kubwa la wachezaji wa kiingereza,hata kama kiwango kimeshuka.
Angalia mfano wa rashford tunaambiwa anacheza na majeruhi utadhani yeye ndio wa muhimu timu nzima,mbaya zaidi mfanya maamuzi ni ole.
Eti timu kubwa wkt ubingwa tu wa Germany huwa ni ndoto licha ya kutokuwa ligi ya ushindani.Timu ndogo sana iyo pale germany level za everton na westham huko au spurs
Gazeti la Uingereza hilo unategemea nini? Hapo kakosekana Lingardinho tu
Tena ikitokea bahati mbaya akafanya vizuri msimu huu pia,atakuwa na gharama kuliko neymar.Gazeti la Uingereza hilo unategemea nini? Hapo kakosekana Lingardinho tu
Declan Rice pia akitaka kupata thamani sokoni,ahamie united ili tujue tunafuga timu yao ya taifa pale
Tatizo lako ni lugha au?Gazeti la Uingereza hilo unategemea nini? Hapo kakosekana Lingardinho tu
Hebu tueleweshe mkuu wamemaanisha nn hapo.Tatizo lako ni lugha au?
Yes wing ya kushoto nani anayemfikia kiwango pale kwenye kikosi chetu ?Hapo ndipo huwa wananichosha utasikia "Mashetani hao wekundu wanaenda kukipiga na... bila ya huduma ya mchezaji wao nyota Rashford" huwa najiuliza hivi tm yetu imefikia hatua Rashford ni mchezaji wa kutumainiwa!!!!
Wanaotoa thamani siyo waingereza sasa kuwahusisha na tathmini tajwa ni dalili ya kutojua lugha au ni makusudiHebu tueleweshe mkuu wamemaanisha nn hapo.
Graph ya Ronaldo ilikuwa inapanda lakini kumbuka hata graph ya Rashford kitakwimu inapanda.Ilichukua muda mrefu kabla ya cr7 kuwa tegemeo pale Utd licha ya kwamba alikuwa ana deliver na pia graph yake ilikuwa ikipanda kila siku tangu akiwa kinda, lkn hawa nyota wetu wa cku hizi errors kibaooo.
Mpira wenyewe ndio huu wa sasa defence zinafanya errors za wazi kabisa? Hivi mkuu kwa defenfers za kipindi cha cr7 kina Martin Sketel, kina Sol campbel, kina John Terry huyu Rashford angefikisha hata bao 50 kweli huyu? Ok kila mtu ana mtazamo wake wacha nikubaliane na mtazamo wako.Graph ya Ronaldo ilikuwa inapanda lakini kumbuka hata graph ya Rashford kitakwimu inapanda.
Rashford ana miaka 22 ana magoli almost 88 hivi kwa United.
Ronaldo aliondoka united akiwa 24 years na alikuwa na magoli 118 katika misimu 6 aliyokaa Man united.
Kumbuka pia Ronaldo alikaa katika Man United iliyokuwa bora kuliko timu yoyote EPL na ikibeba makombe mbali mbali.
Rashford yuko kwenye Man united dhaifu huenda kuliko ile aliyoikuta Ferguson miaka ya 1986 huko.
Ukitumia takwimu kumtathmini Marcus Rashford atakudhalilisha tumia kigezo kingine.
United wapigane kumpata Harry Kane, Sancho na Beki wa kulia tu ubingwa utakuwa wetu msimu ujao.Sancho anakaribia kutua baada ya kumpata natamani kuona tunasajili wachezaji wengine watatu centre back right back na defensive mido
Huwezi jua pengine angekuwa wa moto zaidi.Mpira wenyewe ndio huu wa sasa defence zinafanya errors za wazi kabisa? Hivi mkuu kwa defenfers za kipindi cha cr7 kina Martin Sketel, kina Sol campbel, kina John Terry huyu Rashford angefikisha hata bao 50 kweli huyu? Ok kila mtu ana mtazamo wake wacha nikubaliane na mtazamo wako.
Ona **** hawa
Mkuu unaangalia mechi za France zote? Au unaangalia mechi moja moja? Dogo wa kawaida snChelsea kachukua ubingwa na Kai Harvetz
Mkuu ktk jambo lolote kwnz zingatia sn kipaji.Uwezo mkubwa wa kocha pia unachangia mchezaji kuwa kwenye kiwango bora. Lampard alishusha viwango vya Kante, Rudger, Harvetz, Azipu n.k
Sancho ni mchezaji mzuri sana lakini chini ya kocha wanafunzi Ole, kiwango cha dogo kitashuka, mtamkataa dogo.