Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hakuna muingereza atakupatia ubingwa.

Hawa jamaa wapo overpriced and overrated sana.

Rashford kiwango kimeshuka, sioni sababu ya kuendelea kukaa United. Auzwe tutafute mchezaji mwingine.

Pale OT kulitakiwa kuwe uwanja wa elites tu.
Daah ila haya matahira ya kingéreza babu aliyajulia sana .........
 
Ubingwa Kama huu mkuu??
 
Hakuna muingereza atakupatia ubingwa.

Hawa jamaa wapo overpriced and overrated sana.

Rashford kiwango kimeshuka, sioni sababu ya kuendelea kukaa United. Auzwe tutafute mchezaji mwingine.

Pale OT kulitakiwa kuwe uwanja wa elites tu.
@Bavaria : unafikiria nini kuhusu Coman wa Buyern?
 
hili jambo niliwahi kuliwazia

#mufc are thinking of playing Aaron Wan-Bissaka at centre-back in pre-season. Solskjær is keen to see if he could handle the position #mulive [@reluctantnicko]
Atleast tutaona hata Ole anatumia akili kidogo..physicality na kimo cha AWB sio kibaya.
 
Hakuna muingereza atakupatia ubingwa.

Hawa jamaa wapo overpriced and overrated sana.

Rashford kiwango kimeshuka, sioni sababu ya kuendelea kukaa United. Auzwe tutafute mchezaji mwingine.

Pale OT kulitakiwa kuwe uwanja wa elites tu.
Shida ni hawa wachezaji wa Kiingereza wanaolelewa Kistar..kuna watu wanapiga kazi mbona fresh tu,inabidi tutumie umakini kuwaona.. Watu kama Phil Foden,Mason Mount,Kane displine yao kwenye mchezo ni ya tofauti kabisa.

Kuwa Muingereza sio tatizo..Scholes,Rooney,Ferdinand,Carrick hawa wote Waingereza
 
Jombaa, Waingereza ni wachezaji wanaokuzwa mno usiwaamini. Mimi ni moja kati ya mtu ninaopinga sana usajili wa wachezaji wa kiingereza based on observations kuna kipindi nilichowahi kuandika hapa huwa wanakuwa-evaluated kwa vipindi vifupi ktk career zao.

Kwa soka la sasa, Usiniulize nimetumia kanuni gani ila ukiwa na wachezaji wa kiingereza zaidi ya wanne kikosi cha kwanza ktk timu yako yaani ni lazima waanze panga pangua huwezi kushinda taji lolote lile kubwa. Hawana vipaji.

Waingereza tuwapate kwa njia ya kuwapandisha kupitia timu za watoto kama Marcus Rashford na Mason Greenwwood ila sio kupoteza pesa kuwanunua. Nikiona taarifa za Sancho Sky Sports wanavyoaandika upupu kumpamba moyo wangu unanung'unika sana jinsi vyombo vya habari vya kiingereza vinavyotumia platform kutangaza wachezaji wa kiingereza average kila siku.
 
Sancho uwezo anao au hana?..tuachane na price tag kwanza..

Mbadala wa Sancho ni kama nani na bei zao vipi?
 
Sancho uwezo anao au hana..tuachane na price tag kwanza..

Mbadala wa Sancho ni kama nani na bei zao vipi?
Transfer market wamemrate Coman kama 65ml Euros na Sancho 100euros ila goals plus assist Sancho anamfunika mbali sana Coman kwa misimu 3 mfululizo......

Naonaga coman anakimbia tu kama james sema yeye anawahi sana kutoa cross.....
 
Eduardo Camavinga.
 
Sancho tunamchukulia poa sana.
 
Sancho uwezo anao au hana?..tuachane na price tag kwanza..
Out of 10, nampa 6. Uwezo wake ni wastani. Hana kipaji kikubwa yupo ktk graph line moja na Marcus Rashford tu. Kwa nini tulipe premium price kwa mchezaji tunaweza kupata mbadala wake sokoni kwa bei pungufu?
Mbadala wa Sancho ni kama nani na bei zao vipi?
Pedro António Pereira Gonçalves (miaka 22), huyu ni mchezaji yupo Sporting Lisbon anacheza nyuma ya mshambuliaji wa mwisho, winga wa kushoto au kulia. Msimu huu amewaongoza Sporting Lisbon kubeba ubingwa wa Ureno toka mwaka 2002 na alikuwa mfungaji bora wa ligi na mchezaji bora pia. Bei yake ni euro 60M.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…