Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tunaelekea kuwa Barcelona naamini Barcelona inapitia kipindi kigumu kiuchumi hadi uwanjani sababu ya kutokuwa serious na mambo ya soka na kukumbatia wachezaji wazee leo hii Barcelona inasajili wachezaji wazee sababu hawawezi tena kusajili wachezaji wa paund mil 100 hata 2 mfuko hauruhusu
 
Mkuu tungeluwa seripus kwa kikosi chetu unaongeza nguvu kwa paund mil 300 au 350 kwa wachezaji 3 tu wa viwango vya dunia mbona tungenyanyua kwapa mapema tu
Socha na timu yake pamoja na bodi watatuletea tena vitoto na wachezaji wasioweza kuingia first eleven kama dirisha lililopita na kutegemea matokeo tofauti.

This time tunahitaji watu kweli..Level za Harry Kane,Sancho n.k
 
Socha na timu yake pamoja na bodi watatuletea tena vitoto na wachezaji wasioweza kuingia first eleven kama dirisha lililopita na kutegemea matokeo tofauti.

This time tunahitaji watu kweli..Level za Harry Kane,Sancho n.k
Endapo tukifanikiwa kupata wachezaji 3 wakuingia direct kwenye kikosi cha kwanza bas tutafika mbali msimu ujao
 
Daniel james kuna sajili sijawahi na sitakuja kuzielewa kamwe wan bisaka
Atleast Bissaka mkuu..bei yake ilikuwa kubwa lakini naamini akiletwa mtu wa kumpa changamoto huo upande wa kulia utakua hauna shida..one V one jamaa yuko poa..ila kuna game tunahitaji mtu wa kwenda mbele zaidi kama kina Trent na Reece James wanavyofanya.
 
Hivi Pogba akigoma kuongeza mkataba ina maana msimu ujao ataondoka bure sio?.

Tukimwingiza sokoni tutavuta kama kiasi gani hivi?..sidhani hata itazidi £30m.

Frankly speaking akiuzwa wala sitaumia..replacement yake tunaweza kutafuta kiungo mwenye kasi,anayeweza kukaba pia na ambaye offensive yuko poa na mwenye skills.
 
Kwa pesa na deep network ya scouts duniani sioni sababu ya kushindwa kuchukua EPL kila baada ya misimu miwili au mmoja.

Tatizo la United ni management wanaofanya maamuzi ya kijinga sijapata kuona.

1. Wananunua wachezaji wasiokuja kutumika.

2. Kushindwa kuuza wachezaji wasiotumika.

Imagine mchezaji kama Phil Jones yupo mpaka leo.
 
★There is gradual movement on Jadon Sancho's future. Talks between Borussia Dortmund and #mufc started in the last few days but no official offer yet. Dortmund want around €90m. Player and club-related sources are optimistic and are working on a solution [sport1]★

#GGMU


manutd |
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…