Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Msimu ujao anafukuzwa mwezi Oktoba usijali.
 
Msimu ujao anafukuzwa mwezi Oktoba usijali.
jambo la umuhimu Ole apewe wachezaji anaowahitaji baadae ndio uangaliwe mwenendo wake.
bado naiwazia hii bajeti ya paundi millioni 150 na ukubwa wa mahitaji yetu.
taarifa zinadai Ole anahitaji wachezaji watatu ukiachana na nafasi ya kipa, ukiniuliza mimi nitatoa jibu la uhitaji wa wachezaji wanne
 
: msimu wa kuumizana tena umeshawasili
tier 3/4
[Simon Jones, Mail] Man Utd are interested in signing Trippier but face competition from Everton. United are also working on deals for Raphael Varane and Jadon Sancho
 
anaandika andy mitten
The club know that some opponents leave space for Aaron Wan-Bissaka for players to pass the ball to him. United believe it would happen less often with Trippier
 
Tunahitaji

1.CB ( Mrefu na very composed CB)

2.DM/Holding (Mkabaji,Fundi,Mapafu ya mbwa,na mwenye pass accuracy bora)

3.RW (Sancho)

4.RB (Good going foward)
 
Oyaa acha kelele wewe takataka, umesahau mlivyopania kutuharibia Uzi wetu endapo tungekosa kombe??
Kwa hiyo wacha tuendelee kuwakera.
 
Asee maisha yanaenda kas Sana nikikumbuka comments zako za kukera kwenye timu za wengne had ikafikia ukaitwa KITABU na sio kitoabu et na wewe leo unalalamika

Kuwa tu mvumilivu Kama wenzio walivyocumilia wakat ukiwachafua wenzio
Yani yamesahau jinsi yalivyokuwa yamepania kutucheka endapo tungepigwa na yale mengine man shityee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…