Villarreal anakufa Leo vzr tu... Mashabiki wa man utd msiwe na waswas kwani nadhani mnafahamu rashford yupo na ni mchezaaji wa mechi kubwa.... Ataweka pia greenwood ataweka na Bruno na cavani pia watatupia mabao...
Nazima simu sasa naenda kibanda umiza kushangilia mpaka saa 6 nitarudi hewani
😂😂😂 Mitano tena kwa ole Sendeka
Saa za mwana wa adam zinakaribia ila leo mafarisayo ya kihispania lazima tuyakate masikio.
★Solskjær: "I hope he [Sir Alex Ferguson] will enjoy today's night because I have to say I owe most of my career to him and this club." ★
#GGMU[emoji123][emoji41]
manutd |
Kuna jamaa anataka sosha afukuzwe sujui anatumia kigezo kipi yaan
Hahaa jamaa anateseka zaidi ya sana.
Ajabu kule kwao hacomment mara nyingi kama hapa.
Tunaanza sisi kutwaa Europa harafu tunasubiri chelsea afungwe ucl.
Jumatano Gerard Moreno atawatia kuni za kutosha
Katika makocha waliopo kwenye ramani ya soka kwa sasa kocha wangu bora ni JURGEN KLOPP anafanya kazi ktk mazingira yoyote.
Wanaofuatia
Zinedine zidane
Mikel Arteta
Ole gunna solskjaer
Thomas Tuchel
Mauricio Pochettino.
Wengi mtashangaa Mikel Arteta kukaa hapo ana mbinu nzur sana hana bajeti anatunia nyenzo zilizopo mmiliki wa arsenal ndio anaemfelisha
Pep namuacha sijawahi kumuona akifundisha timu zilizoparanganyika na kuifanya timu moja matata kapita kwenye timu ambazo tayar zina misingi imara.
Nani uyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wameingizwa mkenge na tapeli tuchel, siku sio nyingi wataanza kulikimbia jukwaa lao
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]huyu mzee ndo gunduHalafu uniambie haturudi na bakuli na hata Fergie yuko kwenye msafara thubutuuuuuuuuuuuView attachment 1796787View attachment 1796788
Mano likwe likwe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tunaanza sisi kutwaa Europa harafu tunasubiri chelsea afungwe ucl.
Wewe Baki machimboni uko angalia usije mpasua mtu na sururu mida hii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tusipo chukua ubingwa leo, hizo zarau zenyewe kitaa, sipati picha.
Wasiwasi wangu beki za kati.
Kombe la mbuzi iloo[emoji1][emoji1][emoji1]Hawaonyeshi
Sasa huyu mzee alienda kuwaambia nini vijana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naulizia unasemaaaa........Msiba unaanzia hapa kisha jumamosi tunamalizia kwa Chelwowo