Kipaumbele muhimu sana kila siku noangea humu manchester city tayar alishakuwa bingwa hata kama tungeshinda hizi mech mbili wao walikuwa wanataka point 3 ili wawe mabingwa unawezaje kukamia mech mbili ngumu ndani ya siku 3? Ukipata majeruhi unachezaje final ya EUROPA tukumbukr maguire tayar mgonjwa
Angalia kikosi cha city vs chelsea ingekuwa pep hana uhakika wa ubingwa angepanga timu ngumu dhidi ya chelsea kufungwa jambo lingine
Toka mech ya leicester city mm naona ole yupo sawa kwanza tayar ana uhakika wa kucheza uefa pili yupo final ya europa sasa tunataka nn wakat city ni bingwa binafsi mech zote zilizosalia nilijua ni bonanza tu
Mech ya jana nililala sikuangalia wala sikuwa na mzuka nayo kwa sababu kila kitu kimeisha