Kocha yeyote mwenye akili asingerisk wachezaji wake kwaajili ya ligi wakati ligi ili aichukue ni kuombea City apasuke games zote zilizobaki kitu ambacho hakiwezekani na huku kuna fainali ya kumpa kombe.
Ubingwa tulisha ukosa kitambo kwasasa tujiandae na fainali, mambo ya kushangilia nafasi ya pili ni upuuzi kwa Man u. Tujipange na kutwaa mataji msimu ujao.