Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hivi ni mimi peke yangu au tuko wengi tunaoshangazwa na upotevu wa AMADI DIALLO aliyesajiliwa kwa mbwembwe pale OT?
Kama sikosei hata kwenye benchi simuoni kabisa. Mwenye taarifa zaidi kuhusu huyu dogo atufahamishe nini kinamsibu
Msimu umeisha mdau tusubirie msimu ujao
 
Ni rahisi sana kuandika kuliko kupanga hivyo unavyotaka uwanjani.

Ukifuatilia Attributes za Midfielders wa Man U wote(Matic, Fred, Pogba na McT)
Lazima utaelewa kwann OLE na Jopo lake la Ufundi hawataki kupanga hivyo.

Kingine fuatilia Kipindi ambacho Pogba amekuwa katika kiwango kizuri huwa anacheza sehemu ipi.

Tatu, jiulize kwanini OLE amuamishe Rashford upande wa kushoto, ili kum-accommodate Pogba.




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi ni mimi peke yangu au tuko wengi tunaoshangazwa na upotevu wa AMADI DIALLO aliyesajiliwa kwa mbwembwe pale OT?
Kama sikosei hata kwenye benchi simuoni kabisa. Mwenye taarifa zaidi kuhusu huyu dogo atufahamishe nini kinamsibu
Ulitegemea kabisa Diallo aje aanze kikosi cha kwanza.?

Wakati kule Itally alikuwa hajafikisha hata mechi tano za kikosi cha Kwanza.

Na Dogo ndio kwanza ana miaka 18.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama watanzania tu
 
Ole Gunnar Solskjaer on Manchester United's four matches in eight days: "I run too much of a risk of injuring [the players], so talking about integrity in the league and stuff, don't blame me when I have to make changes because I have to"; United host Leicester on Tuesday night
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…