Manchester United (Red Devils) | Special Thread

kinacho waua ni "individuality" ile kujiona special.
kwamba lazima waonekane wao.
wanashindwa kufaham such profiles hazijengwi siku moja, ni progressive development.

angalia rushford anajiona christian ronaldo pale united lakin hamna kitu.
martial anajikuta messi hata kutoa pass kwa wenzie tatizo. anataka chenga tim nzima.
hii ni childish mentality.

an experienced player like akina messi, c.ronaldo, cavani.. wale ambao wamecheza top level at large stages.. huwez kuta wana behave kijinga hivyo.
wana nidham ndio maana wamefika hapo walipo.

akina rushford na martial ni virse versa. ndio maana viwango havipandi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…