Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ndio italeta picha ya final ..

Achen kujipa moyo ,kesho timu itakayofungwa ,basi wachezaji watagain confidence hadi final ...
Kwanza game ya kesho huenda ikawa na rotation nyingi baadhi ya key player huenda wakapumzishwa
Game ya kesho itakuwa tofauti kabisa na fainal
 
Hata hy 2021 ukigeuza geuza unapata 2012, kazi zimebaki mbili, kuigeuza geuza nyie nyumbu wadogo kesho EPL na Uefa
 
Utawajua uzoefu wao na hizi finali za UEFA. Hizo counterattack watawageuzia kibao.
 
Utawajua uzoefu wao na hizi finali za UEFA. Hizo counterattack watawageuzia kibao.
Kuna mzoefu wa final kama pep ? ...


Mpaka sasa kashapoteza final moja tu ,na penyewe ilikuwa na mpaki bas morihno ,hao wengine ni kusambaza kichapo tu
 
Dah Nimeamini Bruno anaokena mbaya siku nyingine kumbe tatizo ni watoto wajinga wanaharibu key passes hivyo kumfanya aone bora kufumua shuti tu hata liende off target.

Cavani akiwepo anamuaminia sana refer AS Roma first leg na Second leg. First leg goli la kwanza Rashford angefinya alafu apige blocked shot.

Cavani katoa assist matata kwa Bruno
 
Martial na Rashford ni vipumbavu sana hivi vitoto..na Socha anaviamini kupita kiasi..
 
Yes second leg nimeona pia ingawa Bruno hakuweza ku hit target ila ilkua ni pass nzuri kutoka kwa Cavan.

Cavan hana cha kuonesha kwa watu maana ifahamika ni world class.
 
Huu mjadala ushasahaulika ila naona hawa bado wanauendeleza
 
Watu wanashindwa kuelewa kuwa Chelsea chini ya kocha Tuchel ni ngumu sana kwa sasa, wakatae ama wakubali ukweli ndio huo. Na si kwamba hawajui laa wanajua sana sema tu kiburi na dharau.

Tuchel anabadilika sana huyu kocha ni genius sana. Tuchel kwa sasa ameifanya Chelsea kuwa ngumu sana kwa timu pinzani ku unlock beki zake, na ata kama ukifanikiwa basi golini utamkuta jini Mendy anakusubiri.

Jamaa wana defense vizuri sana kisha wanashambulia kwa haraka sana wakipata mpira kitu hatari sana hiyo.
Utapiga msako kuanzia dakika ya kwanza mpaka tisini na hutapata bao hata moja....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…