Manchester United (Red Devils) | Special Thread

[OptaJoe] 3 - Manchester United will face Aston Villa, Leicester & Liverpool in the space of five days between 9-13th May, the first time they've played three league games in five days since April 1992. Busy.
 
Wachezaji wakuweza kumpa makombe Mourinho ni wale waliozaliwa early 1990s kurudi chini.

Hao wengi wao walikuwa na vipaji halisi vya mpira badala ya kizazi hiki cha academy.

Kingine ukiangalia signing za Mourinho huwa ni za wachezaji waliokomaa kifikra na kiumri kwa sababu anatambua namna ya kuwamanage vizuri na kumpa matokeo.

Kikosi cha Intermilan cha Mourinho siyo kwamba hakikuwa na wachezaji bora hapana walikuwa bora sana lakini walikuwa wanaelekea mwisho tu wa career zao.

Kikosi cha sasa cha AS Roma huenda kikapata mafanikio chini yake kwa sababu ya aina ya wachezaji wa kitaliano ni well disciplined kwenye football kuliko nchi yoyote Europe lakini Italy inapokea wachezaji wengi sana kutoka Ulaya mashariki na bara la America kusini ambao wanafit sana kwenye mifumo ya Jose
 
Watu wanaidharau sana chelsea ila mourinho ameacha mizizi ya aina yake pale na haitakuja kung'olewa kamwe........
Hata mimi huwa naamini chelsea ni timu ngumu zaidi kucheza nao kuliko timu yoyote epl kwa muda wote hata kama hawako vizuri.

Their style of play ni tofauti na timu zote kubwa za epl.
 
Chelsea watoto wao wanajituma sana tofauti na wa kwetu..shida yao ni kuwa wanapoteza chansi nyingi sana za kufunga.
Watoto wapi?
Kipa mendy anaenda ubabu

Beki na Madrid, silva babu, Rudiger anakaribia ubabu, Azpi nae Babu, Christie Sen na Chilwell ndio wana 25 na 24.

Ukija midfield kante babu, jirginho anakaribia ubabu.

Wachezaji pekee Ambao wana qualify kuwa ni watoto ni pulisic na mount tu.

Kikosi cha wachezaji 11 wawili wakiwa watoto ni Kikosi cha watoto?
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…