Manchester United (Red Devils) | Special Thread

CHIEF MKWAWA NJOO UMUONE PEP MAHABA ANAVYOJIFICHA KUMPONDA MOURINHO NAKATI PEP NDIYE ALIYETUMIA PESA NYINGI SANA UK KTK KUSAJILI HADI ALITAKA KUFUNGIWA NA FIFA MWAKA JANA.

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Anthony martial amefunga magoli manne msimu huu, magoli mawili kati ya hayo amefunga dhidi ya southampton siku tuliopata ushindi wa magoli 9.
==================
Anthony Martial resumed collective training yesterday. He is unlikely to be in the squad to face Roma or the game against Aston Villa, but he has a good chance of being ready for the final games of the season
 
A group of #mufc supporters have written a letter to the club's sponsors asking them to end their business deals with the club. They warned them that they are "legitimate targets" because of their association with the Glazers. [@TimesSport]

 
Jamaa huko wanajuta kujiingiza kwenye esl maana imeibua majanga kweli kweli
 
mara zote mbili mou alizochukua UEFA kabeba na timu zenye vikosi dhaifu (porto na Inter), na amefeli na Man u, chelsea na Madrid, hivyo hela sio kigezo sana kwake kama mnavyofikiri bali aina ya wachezaji.

mou ni kocha ambaye akikutana na wachezaji lege lege wenye "ubitozi" wa kutosha timu inamshinda, ila wachezaji wa kizamani wale ambao hata ukiwafokea una wamotivate anakupa matokeo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…