"Our fans are passionate about Manchester United, and we completely acknowledge the right to free expression and peaceful protest." - Manchester UnitedHuko Majuu hawanaga FFU kusambaratisha wajinga?
Huyu jamaa akatafute kazi ya kufanya.
Huyu jamaa akatafute kazi ya kufanya.
Sakata la european super league ndio limeibua yote hayaWakuu naomba kujua nini chanzo cha mvutano wa Glazer family na Man Utd .
Sent from my vivo 1820 using JamiiForums mobile app
We msubirie perez alipwe chake kwa timu kujitoa eslKwan kasema uongo?
#Wakuu naomba kujua nini chanzo cha mvutano wa Glazer family na Man Utd .
Sent from my vivo 1820 using JamiiForums mobile app
We msubirie perez alipwe chake kwa timu kujitoa esl
Kachukueni Yale yakwenu kule kabatini mbebe..Binafsi sina shida na City tukimpa ubingwa kesho. Japo nitafurahi zaidi kama tukimpoteza maboya L'pool ili asishiriki michuano ya Ulaya msimu ujao.
Msimu wa mwaka 2009/10, Chelsea alichukua ubingwa kwa points 86 wakati sisi United tulikuwa na points 85. City alitusaidia kumfunga Chelsea mechi zote mbili home & away.
L'pool wakatufanyia roho mbaya Steven Gerrard alitoa boko makusudi kwa kumpasia Didier Drogba ili Chelsea washinde wabebe ubingwa. Tulikuwa na utofauti wa point moja tu kama mechi ingeisha sare sisi tungebeba kombe.
Dah Conte anajua aise, Juve msimu upi huu kapigwa pote pote, UEFA, Serie AInter milan wametangazwa kuwa mabingwa wa serie A kwa msimu wa 2020/2021
Huyu ni mo aluyechangamka
Full unyonyaji
Chuki zake kwa Pogba ni something else.
Dwight Yorke and Andy Cole