napenda nihukumiwe kwa ninachokiandika na si username ninayotumia ndio maana nabadili majina mara kwa mara. kuna tabia imezuka humu ndani ya JF kupeana credit ovyo kwa sababu tu ya nguvu ya username (ndio naipinga kampeni hiyo kwa njia hii)
teh teh teh
=============
nilimpima na nagelsmann pamoja na verified name ila nikaona bado mizani inaelekea kwenye jina la klopp,
tusisahau klopp ni muajiriwa tu wa liverpool na si mwanachama, hata mwanzoni sisi tulimtafuta klopp ila mikakati yetu hakuvutiwa nayo ndio akaenda liverpool mbeleni