Pep ana mabaya gan mkuu...?
Mambo ni mengi ila scandal yake kubwa ni kuhusu yeye na Tito Villanova, hawa jamaa walikuwa marafiki kwa miaka 28 kama Tito mwenyewe anavyosema na wameshinda mataji pamoja pale Barcelona.
Pep akawa Kocha wa Barcelona, baadae akaondoka, alivyoondoka Tito akamrithi ile nafasi, Pep kumbe kile kitu kimemuuma akawa kama anampotezea Tito, imefika Stage mpaka Tito anaumwa Cancer jamaa anampotezea mwenzake.
Kuna Kipindi Tito Alilazwa New York kwa hio cancer, sehemu moja ambayo Pep alikua yupo likizo anakula Bata na pep hakwenda kumuona,
Then pep akakanusha kwenye vyombo vya habari kuwa si kweli hauendi kumuona rafiki yake na akawa anasema ni plot za Barcelona kumchafua,
Tito mwenyewe akatoka kwenye vyombo vya habari kutoa kauli hii
"People aren't interested in personal matters, but Pep got it wrong and I'm surprised by his comments," Vilanova told AS. "No one on the board used my illness to attack him. The club tried to help me as much as possible.
"He visited me once in New York when I'd just arrived, but during my recovery from the operation I was there for two months and I didn't see him. He's my friend and I needed him, but he wasn't there for me. I would have done things differently. I won't say anything else about this."
Baadae Tito akafariki Dunia.
Zipo pia story zake za unafiki ikija catalan na Uae, scandal zake za wachezaji wa ki Africa toka kwa wachezaji mbalimbali, treatment yake kwa ibra etc
As a Human Being Ole ni mtu mzuri hata wachezaji ambao wameondoka Man U kama lukaku huwaoni wakimponda.