Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwenye vilabu mzee. Huoni watendaji wakuu wanavyo bwaga manyanga. Ishu kubwa ni wametofautiana mitazamo na wamiliki. Unaweza kushangaa wamiriki nao wanauza team ndio mapinduzi hayo.
Lakini kwa upande mwingine mpunga unaweza kuongezwa na UEFA.

Hii ishu sijui nani kapindua meza nadhani labda ni bwana Boris Johnson.
Kwani tangu katoa tamko tumeshuhudia club zinaanza kujitoa moja baada ya nyingine.
Sio unadhani mamaeeee hii vita mshindi ni boris baada ya kile kikao chake cha jana kuisha......
 
Hivi vilabu vilitegemea uefa na fifa ndio watakao pinga na si mashabiki,gvt,media n player
Kwa bahati mbaya kwao ikawa ni wote against wao

England hawako tayari kuona Premier league inapoteza ule mvuto or brand iliyonayo
Na ndio maana huko juu niliandika watu pekee ambao watafanya hii michuano isichezwe ni mashabiki na wachezaji tu......kumbe likaja kuibuka kundi lingine hatari mno kuliko hao wawili likiongozwa na bwana boris johnson

Perez kilaza sana yani epl uwatolee miamba wao sita kwenye ligi uwaachie astonvila na westbrom ndio wapapatuane kuchukua ubingwa na kugombania kwenda uefa uchizi huu.......
 
Sababu kuu ya wao Kupinga haswa lilikua ni nini?
Mi nafikiri hii kitu imepigwa vita sababu ya uingereza wao tu mashabiki na media wanaona kama premier league itazidiwa na super league lakini pia walioanzisha/ wanaopigia chapuo si waingereza ndio mana hawakuwa tayari kupokea hayo mabadiliko. Mtazamo wangu tu.
 
Sababu kuu ya wao Kupinga haswa lilikua ni nini?
Sababu kubwa ya kupinga ni namna ambvyo vilabu vingi vidogo vitakosa sehemu kubwa ya kujipatia mapato na kingine pia kiuhalisia hata ile ndoto ya wachezaji wengi kuwa wanataka kucheza kwenye mashindano makubwa kma UCL inakuwa ndogo. Na kingine zile battle ambazo tumezizoea inakuwa siyo nzuri mfano, liverpool vs madrid ile ambayo mpaka salah anaumia mkono kwa kuumizwa na ramos halaf msimu huu wanakuja kukutana tena kwenye robo fainali matukio ya nyuma inawafanya mechi inakuwa tafu ila wakiunda hayo mashindano userious unapungua maana kila msimu wanakuwa wanakutana wao kwa wao
 
Chelsea wamekatamatika vimbaya kwenye hii Ligi mpya.

Kwanza Uwanja wa Stanford Bridge haumilikiwi na Roma Abromvichi mbali unamilikiwa na Chelsea Pitch Owners.

Pia wanamiliki jina Chelsea Football Club na wanasema hilo jina halitatumika hata siku moja kwenye hili Ligi mpya.

The CPO also holds the power over Chelsea Football Club's name, meaning there could be implications for using it in the European Super League, or playing in another ground, without permission from the shareholders.

Yajayo Yanatisha.

YNWA
 
Mmiliki wa Liverpool John W Henry amewaomba msamaha mashabiki,wachezaji, na wafanyakazi wa timu hiyo kwa maamuzi yake ya kuipeleka timu hiyo kwenye michuano ya European Super League ambayo sasa imeanguka mara baada ya kupingwa vikali."

Kwa usnitch aliowafanyia watamrudisha marekani huyu
176311655_255173906305686_6605660141627350183_n.jpg
 
Sababu kuu ya wao Kupinga haswa lilikua ni nini?
IMO: Ilikuwa inaua ushindani kwenye league
Vilabu vidogo visingepata fursa kushiriki hii michuano hata viwe mabingwa kwny league zao
Yani mtu hata amalize nafasi ya 15 huko stil atashiriki hii michuano kisa tu ni founder
 
IMO: Ilikuwa inaua ushindani kwenye league
Vilabu vidogo visingepata fursa kushiriki hii michuano hata viwe mabingwa kwny league zao
Yani mtu hata amalize nafasi ya 15 huko stil atashiriki hii michuano kisa tu ni founder
Wakajipange upya na proposal yao
175467166_184374653505742_4360957699965554155_n.jpg
 
Naomba mtu anipe uchambuz Hasara ambayo wangeipata Mashabiki kwa team zao kushiriki Super League weka ushabiki pembeni naomba facts
Ligi za domsectic na UEFA zingezorota, hiyo ligi mpya kwa sababu ni closed league isingekuwa na ushindani na hivyo ingeboa mashabiki
  1. Ligi za ndani na UEFA zikifa au kupoteza ubora mashabiki wataadhirika sana, zitachosha na hivyo kugeuga kuwa karaha badala ya raha
  2. Ligi mpya kwa sababu ni closed, isingekuwa na ushindani kama ilivyo UEFA na ligi za ndani hasa EPL na hivyo mashabiki wangekosa ule uhondo wa ushindani
 
Back
Top Bottom