fuentte
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 3,472
- 10,040
Sijaona kwa namna gani vilabu vinavyobaki kwenye ligi ya nyumbani vitafaidika na uchumi mkubwa wa super ligi zaidi ya hivyo vitano vitakavyokuwa vikiingia kwa kupishana kila mwaka.
Angetolea mfano kama yeye angekuwa rais wa norwich angeikubali super league kwa misingi gani. Maana zaidi ya hapo naona wameamua wakubwa kutengewa msosi wao meza kuu wakati watoto wanakaa kwenye mkeka na akina mama.
Kama issue ilikuwa attractiveness ya football,epl ilianza kuliweka hilo sawa kwa kubalansi ushindani uwanjani kati ya vigogo na underdogs walau kwa asilimia kubwa tofauti na la liga n.k.