Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Jambo la kutufanya tutwae ubingwa ni kushinda mechi zote ambazo tutaishia point 87 wakati Man City anahitaji mechi nne tu kuzifikia hizo points.

Ili tutwae ubingwa tunatakiwa kushinda mechi zote halafu Man city apoteze walau mechi tatu zijazo ni jambo rahisi hilo ?
Haiwezekani hiyo! Kocha mwenyewe huyo?
 
ina maana dunia nzimaa nambari saba pekee mwenye ubora aliyebakia ni huyo jadon sancho?
==============
hiyo pesa wapewe juventus paundi millioni 25 kwa ajili ya cristiano ronaldo, paundi 25 millioni nyengine apewe ya mshahara wake, naamini lile zee litatupa magoli 20 ya uhakika kupitia viungo vyake vyote vya mwili
ukata huu wa corona kutoa hela ndefu kwa chezaji la kiengereza ni zaidi ya kamari.

najua kuna watu wataniona nimechanganyikiwa.
Umenichekesha ila nakuunga mkono sana!
 
Super midfielders
PSX_20210417_163612.jpg
 
★Paul Pogba: "I enjoy playing with Bruno. He’s someone who understands the game and understands the movement that can give you a beautiful pass, he can finish too. He’s all over the place, he can do everything really... except defending!"★

#GGMU

manutd |
 
★Paul Pogba: "It’s always a joy to play [with] him [Bruno Fernandes], to understand him. He understands me as well, he can take my position, I can take his position as well. I think he suits the team, he’s a very dominant influence in our team."★

#GGMU

manutd |
 
★Paul Pogba: "I think it’s important to have a group that gel well together because football is teamwork and you have to be with everyone, you have to be connected, that’s how you win."★

#GGMU

manutd |
 
ina maana dunia nzimaa nambari saba pekee mwenye ubora aliyebakia ni huyo jadon sancho?
==============
hiyo pesa wapewe juventus paundi millioni 25 kwa ajili ya cristiano ronaldo, paundi 25 millioni nyengine apewe ya mshahara wake, naamini lile zee litatupa magoli 20 ya uhakika kupitia viungo vyake vyote vya mwili
ukata huu wa corona kutoa hela ndefu kwa chezaji la kiengereza ni zaidi ya kamari.

najua kuna watu wataniona nimechanganyikiwa.
Hahahahaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
★Sending big birthday love from the United family, #VandeBeek!

We hope you have a cracker, Donny!

#GGMU

manutd |
IMG_20210418_111026_025.jpeg
 
Back
Top Bottom