Bado hajafukuzwa tu
ahahahWafuasi wa Mou wanachungulia na kusepa kwenye huu uzi.
daaaaaaa hatariiiWafuasi wa Mou wanachungulia na kusepa kwenye huu uzi.
★Manchester United's on-loan star Jesse Lingard is reportedly attracting transfer interest from Paris Saint-Germain, Inter Milan and Real Madrid.★
#GGMU
#ESPN
manutd | View attachment 1750288
Washaanza vimaneno uvundo.★Jesse Lingard is yet to make a decision about his future but his preference is to play Champions League football next season [ESPN]★
#GGMU
manutd |
Kuelekea michuano ya Euro Jordan atakuwa #1 ila baada ya hapo Dean atachukuwa nafasi. Namuona pia akichukua nafasi ya David Degea.First choice ya Gareth ni Jordan Pickford, Nick Pope na Henderson.
Huyu na Phil Jones huwa hawawezi kabisa hata kucheza mechi 5 mfululizo bila majeraha.Ni kweli ni heri kumuuza Eric Bailly hata kwa bei ya hasara kuliko kuishi nae kwa matumaini mfu
Kuna ujinga mkubwa sana unaendelea chini ya maji ni kama PR inafanyika kumpamba huyu pimbi ili arejee na apewe mkataba mpya.
Maana yake hawezi competition sasa tutaishije na striker mmoja tu timu kubwa kama United.Martial.
Huyu jamaa ni kwamba ana psychological issues.??
Ona hapa.
Kila anapoletwa mchezaji ambae ana compete nae nafasi, performance yake huwa inashuka.
1.Kabla ya Sanchez kuja, mambo yalikuwa mazuri. Ila baada ya hapo.......
2. Kabla ya Cavan kuja, kuna watu kwa ujinga wetu tuliamini hakuna haja ya Harry Kane, Martial anatutosha. Ila sasa kilichotokea msimu huu ni aibu.
3........hii ya tatu ni ujio wa zlatan.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nafikiri vingi vinambeba ila Pickford ni proactive kuliko DeanKuelekea michuano ya Euro Jordan atakuwa #1 ila baada ya hapo Dean atachukuwa nafasi. Namuona pia akichukua nafasi ya David Degea.
Unapokuwa golikipa wa timu kubwa kama Manchester United moja kwa moja unaaminika ktk timu yako ya taifa. (Trophies - Winning mentality)
Bailly haijalishi ana ubora gani lakini kwa hali aliyonayo ni heri auzwe.Huyu na Phil Jones huwa hawawezi kabisa hata kucheza mechi 5 mfululizo bila majeraha.
Hata huko napo akileta uzembe anaotufanyia sisi itabd a competeMaana yake hawezi competition sasa tutaishije na striker mmoja tu timu kubwa kama United.
Sehemu pekee ambayo hawezi kucompete ni kwa mkewe tu
Jones nae ni umri kaongopa amaHuyu na Phil Jones huwa hawawezi kabisa hata kucheza mechi 5 mfululizo bila majeraha.
Jones msaada ndio anaoBailly haijalishi ana ubora gani lakini kwa hali aliyonayo ni heri auzwe.
Hana msaada wowote kwenye team backup defender muda wote yuko kitandani ikitokea chaguo la kwanza wanapata injury Bailly hatakuwa na msaada wowote
Ni kweli ni heri kumuuza Eric Bailly hata kwa bei ya hasara kuliko kuishi nae kwa matumaini mfu