Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hakuna timu inaweza kumtaka rash wala mchezaji yeyote wa man utd ambaye man utd bado wanampango nae wa muda mrefu sababu man utd hawako kwenye biashara ya kukuza vipaji na kuuza ili kutengeneza hela. period.
upo sahihi, lakini tusisahau mchezaji husika anao uhuru wa kufanya maamuzi ya kuhama timu licha ya kwamba ana kikwazo cha mkataba, mfano ronaldo aliondoka timu zote mbili zikiwa bado zinamuhitaji.
 
Maandiko ambayo yataprove kama Partey aligombewa ama la?

Johan Cruyf alitaka kumsajili Henry akiwa kinda, Joan Laporta alitaka kumsajili Henry mwaka 2003. Wakaja mwaka 2006 kumfuata tena ila Henry akagoma na badala yake akasaini miaka 4 Arsenal.
David Dein akaondoka na Wenger akawa mguu nje mguu ndani Henry akabadili mawazo akasaini Barcelona 2007.

A single club imefuatilia sahihi ya mtu mmoja kwa muda gani? Ni ajabu ikiwa yenyewe imekuja kutaka kumsaini mchezaji huyo huyo? Tena akiwa na miaka 29.

Kama umesoma kila nilichoandika means utakua umeona wachezaji ambao United iliwataka ila wachezaji wakaopt kwenda timu zingine so Amad, Bruno, Ighalo, Pellistr, Telles , De Beek ni wachezaji ambao United ikawapata. Wangapi wanapata game time? Wangapi wana output iliyotarajiwa?

Aouar hakutakiwa na timu moja, wakati Arsenal inapeleka ofa ilikua klabu yake yenyewe inataka abaki, kulikua na fununu za Juve na Barca kumtaka. So haikua Arsenal pekee. Kuhusu Partey, usajili wake ulikua last minute resort kuwatuliza munkari mashabiki so angeweza sajiliwa yeyote yule ili mradi mashabiki wapunguze kulalama na yeyote ambaye asingekua na upinzani.

Wewe mwenyewe unasema umenipa mifano ya wachezaji wawili wakubwa.... Hapa kwenye ukubwa hapa sometimes timu hazimfuati mchezaji kwakua huyo mchezaji ni mkubwa anakua anavutia klabu zenye maono ya ushindi na au pesa. United miaka yote ina pesa ila hii ya Ole imekosa maono, hili linaweza jireflect hata dirisha lijalo.
tumefanya mabadiliko ya kiuongozi kwa kuongezea nafasi mbili za kiutawala ambazo hapo mwanzoni hazikuwepo nazo ni director of football na technical director. Nafasi zote hizo zina umuhimu mkubwa sana kiupande wetu hususani kwa wakati huu ambao majukumu na mahitaji ya mwalimu yanafifishwa na nguvu ya wawekezaji kwa baadhi ya timu. Ni matumaini yangu tutaondokewa na mkwamo wa kushindwa kufanya maamuzi sahihi na ya kiufundi pindi dirisha la usajili litakapofunguliwa. Jambo la muhimu ni uwepo wa mashirikiano kati ya pande tano muhimu zinazoshikilia mustakabali wa timu. CEO, chief negotiator bwana matt judge, scouting, benchi la ufundi na hao wawili. acha tuwahukumu pindi watakapoanza kazi
 
A step in the right direction cheo cha DOF alipokitema Woodward.

Ila hapa sasa kibarua kipo cha kumsubiri Ole aevolve positively.
 
A step in the right direction cheo cha DOF alipokitema Woodward.

Ila hapa sasa kibarua kipo cha kumsubiri Ole aevolve positively.
mwenye mamlaka ya mwisho kiuamuzi si anabaki kuwa ed woodward na mkono wake wa kulia bwana matt judge? unajua sijapata muda wa kufuatilia kiundani hizi taarifa za uteuzi. kumjadili ole unapaswa uwe na ndimi mbili kama wanasiasa wa ccm wakiongozwa na kigwangwala.
 
SIKU HIZI RAHA SANA..HUYO MARTIAL AISHIE HUKO HUKO
Screenshot_20210411-173343_All%20Goals.jpg

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom