Busara ilikuongoza. Safi sanaSiongei chochote wacha nisubili dakika 90'
Hii timu ikifungwa basi weekend itakuwa imeenda vizur sana ...
Hizo odds nahisi ulikua umepanga treni la kwenda. Ila sasa game kama hii bora ungecheza over au underSawa hongeren mmeshinda ila mikeka ywtu imechanika😢😢😢View attachment 1749483
Hapana n timu 8 tu zenye odds 1.6 hadi 2Hizo odds nahisi ulikua umepanga treni la kwenda. Ila sasa game kama hii bora ungecheza over au under
Achana na Chelsea kabisa siyo level yenu..sisi siyo saizi yenu