Manchester United (Red Devils) | Special Thread

★Fabrizio Romano asked if Jadon Sancho will join #mufc this summer: "If Borussia Dortmund will change the price from €120m to €80m, there is good chances." [umm]★

#GGMU

manutd |
 
★#mufc have arrived at Manchester Airport ahead of the flight down to London for tomorrow's game against Tottenham [men]★

#GGMU

manutd |
IMG_20210410_221902_493.jpeg
IMG_20210410_221901_911.jpeg
IMG_20210410_221901_911.jpeg
 
Rashford hana kiwango cha kuchezea timu iliyo serious na kutafuta makombe. Timu inayomfaa ni ambayo inajua kabisa itakazana kufika nusu fainali itatolewa kisha maisha mengine yataendelea.

Rashford kwangu mimi ni mchezaji anayebebwa na utaifa wake nje ya hapo ni average player ambaye anaweza akacheza vizuri mechi moja kisha nne zinazofuata akawa hovyo. Haya maoni wanayo makocha wa dunia nzima ndiyo maana hakuna anayemtaka.
labda kwa ufahamu wako mkubwa wa mchezo wa soka hilo tatizo la rashford ulilolielezea hapo juu linatatulika au ndio litaendelea kumuandama milele?
nahitaji maoni yako kama utakuwa na muda
 
Kwa faida ya wote, tutajie timu mlizokua mnachuana nazo kutafuta saini ya Ighalo, Cavani,Amad, Pellistr na Bruno.
labda ni kwa sababu huna utamaduni wa kutembelea hii threads mara kwa mara ndio maana unahoji tena hizo sajili, kwa ufupi hizo sajili zote ulizozitaja hapo juu zimeshafanyiwa mjadala mara nyingi sana humu ndani juu ya mchakato mzima uliopitia mpaka kusajili kwa hao wachezaji. sajili hizo na njia iliotumika zimeendelea kuonyesha jinsi gani timu yetu bado ipo nyuma sana dhidi ya wapinzani wetu wakubwa (liverpool na man city) kwenye eneo la kupata right players kwa muda muafaka, mazingira sahihi ya muda na bei sahihi

usajili wa ighalo, cavani, amad na pellistri zimeongozwa zaidi na style ya kukurupuka zikiwa na lengo la kuwanyamazisha mashabiki wa manchester united waliokuwa wakililia sajili mpya za wachezaji hususani baada ya timu kuendelea kufanya vibaya katikati ya ligi msimu uliopita (akaletwa Ighalo na bruno) na hata mwanzoni mwa ligi msimu huu (Cavani,Amad, Pellistri walisajiliwa baada ya kufungwa magoli 6 na spurs).

Cavani: man utd hawakuwahi kumuhitaji hapo mwanzoni na taarifa zake nyingi zilikuwa zinavumishwa ataelekea benfica akiwa mchezaji huru, laiti kama man utd walikuwa na mahitaji naye ya kimfumo wasingelisubiria hadi siku za mwisho kufanya naye mazungumzo haliyakuwa tokea feberuary edison alishatangaza kuondoka PSG.

Amad: atlanta walikuwa wapo kwenye mipango ya kumtoa kwa mkopo pale pale Italy apate muda wa kucheza zaidi ili kukuza kipaji chake, kushindwa kuafikiana na dortmund juu ya usajili wa sancho huku ukiwa muda umeshapotea kizembe ndipo uongozi wa klabu uliamua kutafuta njia rahisi ya kukamilisha usajili wa winga wa kulia. kulipa paundi millioni 30 kwa mchezaji aliyekuwa bado hajaonyesha ubora wowote kwenye soka la ushindani ni dalili tosha inayoonyesha jinsi gani timu yetu ina tatizo kubwa la recruitment ndio maana si ajabu licha ya kusajili wachezaji takribani 6 our first XI is still very imbalanced.

Ighalo:
kushindwa kukubaliana na mino raiola kwenye dili la haaland ndiko kulifufua njia ya kusajiliwa kwa Ighalo na ameletwa pale huku yeye mwenyewe akifahamu fika atakuwa mchezaji wa hakiba, Ole alimleta si kwa ajili tu ya kuongeza mchezaji kwenye kikosi bali awe ni mchezaji rahisi kumundoa pindi atakapohitaji sajili ya mchezaji mwengineo especially haaland anayezungumzwa mara kwa mara na pia ighalo alikuwa ni mchezaji asiyeleta athari yeyote kubwa kwa mtoto wa bosi ambaye ni anthony martial
=======================================
 
Imebidi nirudi nyuma kuangalia kwanini niliandika hivyo.

Niliyekua naongea naye juu ya hizo ishu alisema united ikitaka mchezaji haimkosi. Nikamtajia wachezaji iliowakosa kisha nikamuambia ataje timu zilizokua zikiwataka wachezaji waliosajiliwa na united hao wakina Pellistr.

Ulichoandika hapa ni kinadhihirisha nilichosema kwamba united ilisajili wachezaji ambao yenyewe pekee ndiyo ilikua mshindani. So sioni nilichokosea kuandika.
 
kutohitajika mchezaji fulani na timu zaidi ya moja kwenye soko la usajili haimaanishi ya kwamba huyo mchezaji ni mbovu, bila ya shaka unafahamu fika kila timu ina mikakati yake, mahitaji yake na mfumo wake wa kiuchezaji and recruitment process, pia ni mara chache sana kushuhudia takribani timu kubwa zote zinamuwania mchezaji mmoja kwenye dirisha kwa lengo la kuziba nafasi yenye tatizo tena kwa offer moja

hivyo nadhani pia si ajabu kwa timu moja kumuwania mchezaji peke yao na hilo halimaanishi ya kwamba hiyo timu ni dhaifu kwenye eneo la usajili, ushawishi na mvuto kwa wachezaji
mkuu naomba unisaidie kwa
  • kunitajia timu nyengine zaidi ya arsenal iliopeleka offer kwa Athletico madrid juu ya usajili wa thomas partey, kama timu hiyo haipo je ina maana ya kwamba thomas partey ni mchezaji mbovu?
  • huko juu ulisema rashford ni mchezaji mbovu ndio maana hatakiwi na timu yeyote, naomba unitajie timu iliowahi kupeleka offer kwa mchawi wa kidachi anayeitwa dennis bergkamp nyakati zile anachezea arsenal. Ikiwa timu hiyo haipo je tuseme dennis alikuwa ni mchezaji mbovu?
  • ukiondoa barcelona je kulikuwepo timu nyengine iliowasilisha ofa ya kumhitaji thierry henry kwa paundi millioni 16 kwa nyakati zile anahama arsenal, kama haipo je thiery henry ni mchezaji mbovu?
 
labda kwa ufahamu wako mkubwa wa mchezo wa soka hilo tatizo la rashford ulilolielezea hapo juu linatatulika au ndio litaendelea kumuandama milele?
nahitaji maoni yako kama utakuwa na muda
Sina ufahamu mkubwa kwenye mpira wa miguu. Nina ufahamu mkubwa kwenye bodybuilding, huku na mimi ni average ninayejifunza.

Rashford kama waingereza wengine anapitia ruti ile ile, media itamkuza kuliko uhalisia bei itayoandikwa itakua ya kupaa ila output uwanjani inakua haina consistency. Nilisema hilo kipindi united inamtaka sancho kwamba united ikitoa hiyo pesa wajiandae kwa maumivu as sancho ataendeleza ile trend ya uingereza.

Am sure linatatulika. Ole anaona benchi linaona litamtengeneza tena.
 
kutohitajika mchezaji fulani na timu zaidi ya moja kwenye soko la usajili haimaanishi ya kwamba huyo mchezaji ni mbovu, bila ya shaka unafahamu fika kila timu ina mikakati yake, mahitaji yake na mfumo wake wa kiuchezaji and recruitment process, pia ni mara chache sana kushuhudia takribani timu kubwa zote zinamuwania mchezaji mmoja kwenye dirisha kwa lengo la kuziba nafasi yenye tatizo tena kwa offer moja

hivyo nadhani pia si ajabu kwa timu moja kumuwania mchezaji peke yao na hilo halimaanishi ya kwamba hiyo timu ni dhaifu kwenye eneo la usajili, ushawishi na mvuto kwa wachezaji
mkuu naomba unisaidie kwa
  • kunitajia timu nyengine zaidi ya arsenal iliopeleka offer kwa Athletico madrid juu ya usajili wa thomas partey, kama timu hiyo haipo je ina maana ya kwamba thomas partey ni mchezaji mbovu?
  • huko juu ulisema rashford ni mchezaji mbovu ndio maana hatakiwi na timu yeyote, naomba unitajie timu iliowahi kupeleka offer kwa mchawi wa kidachi anayeitwa dennis bergkamp nyakati zile anachezea arsenal. Ikiwa timu hiyo haipo je tuseme dennis alikuwa ni mchezaji mbovu?
  • ukiondoa barcelona je kulikuwepo timu nyengine iliowasilisha ofa ya kumhitaji thierry henry kwa paundi millioni 16 kwa nyakati zile anahama arsenal, kama haipo je thiery henry ni mchezaji mbovu?
Hauoni kumfananisha Bergkamp na Henry na Rashford kwa consistency, kiwango na output ya uwanjani ni unafananisha usingizi na kifo?

Siku Partey anasajiliwa niliandika ishu yake kwenye uzi wa Arsenal.

Timu kumuwania mchezaji peke yao ni sawa. Ila vipi huyo mchezaji anapokua Ighalo?
 
hakuna sehemu niliyomlinganisha rashford na hao watakatifu wawili waliotengeneza safu bora ya ushambuliaji kwa takribani miaka 8. labda utakuwa umesahau naamini ni kwa bahati ni kwamba huu mjadala unazungumzia mambo makuu mawili ulioyaleta wewe mwenyewe nayo ni mchezaji kutogombaniwa na timu tafsiri yake ana kiwango kibovu ambapo wewe ulimtumia rashford kama ni mfano, jengine ni mchezaji kugombewa na timu moja ukiwa na maana ya kwamba either mchezaji ni mbovu au timu husika haina nguvu au ushawishi wa kugombania mchezaji na timu nyenginezo, hapo ukatumia mfano wa bruno, ighalo, cavani, amad n.k. comment yangu ya mwisho nilikupa mifano ya wachezaji wawili wakubwa wakiwalisha kila hoja yako kati ya mbili hizo ambao ni henry aliyegombaniwa na barcelona pekee pamoja na bergkamp aliyecheza arsenal licha ya kwamba alikuwa na uwezo wa kucheza na galaticos wa madrid kwa maisha yake mengine. mkuu kwa nini unaendelea kumtumia ighalo kama mfano na si bruno fernandez wakati hao wote waligombaniwa na timu moja. kuhusu partey juu ya usajili wake uliandika lipi zaidi ya lile la kupinga ujio wake kabla ya yule dogo wa lyon ambaye pia aligombaniwa na timu moja tu na mulishindwa bei. mkuu nitafurahi sana kama utanisaidia maandiko kwenye thread yenu
 
Hakuna timu inaweza kumtaka rash wala mchezaji yeyote wa man utd ambaye man utd bado wanampango nae wa muda mrefu sababu man utd hawako kwenye biashara ya kukuza vipaji na kuuza ili kutengeneza hela. period.
 
hakuna sehemu niliyomlinganisha rashford na hao watakatifu wawili waliotengeneza safu bora ya ushambuliaji kwa takribani miaka 8. labda utakuwa umesahau naamini ni kwa bahati ni kwamba huu mjadala unazungumzia mambo makuu mawili ulioyaleta wewe mwenyewe nayo ni mchezaji kutogombaniwa na timu tafsiri yake ana kiwango kibovu ambapo wewe ulimtumia rashford kama ni mfano, jengine ni mchezaji kugombewa na timu moja ukiwa na maana ya kwamba either mchezaji ni mbovu au timu husika haina nguvu au ushawishi wa kugombania mchezaji na timu nyenginezo, hapo ukatumia mfano wa bruno, ighalo, cavani, amad n.k. comment yangu ya mwisho nilikupa mifano ya wachezaji wawili wakubwa wakiwalisha kila hoja yako kati ya mbili hizo ambao ni henry aliyegombaniwa na barcelona pekee pamoja na bergkamp aliyecheza arsenal licha ya kwamba alikuwa na uwezo wa kucheza na galaticos wa madrid kwa maisha yake mengine. mkuu kwa nini unaendelea kumtumia ighalo kama mfano na si bruno fernandez wakati hao wote waligombaniwa na timu moja. kuhusu partey juu ya usajili wake uliandika lipi zaidi ya lile la kupinga ujio wake kabla ya yule dogo wa lyon ambaye pia aligombaniwa na timu moja tu na mulishindwa bei. mkuu nitafurahi sana kama utanisaidia maandiko kwenye thread yenu
Maandiko ambayo yataprove kama Partey aligombewa ama la?

Johan Cruyf alitaka kumsajili Henry akiwa kinda, Joan Laporta alitaka kumsajili Henry mwaka 2003. Wakaja mwaka 2006 kumfuata tena ila Henry akagoma na badala yake akasaini miaka 4 Arsenal.
David Dein akaondoka na Wenger akawa mguu nje mguu ndani Henry akabadili mawazo akasaini Barcelona 2007.

A single club imefuatilia sahihi ya mtu mmoja kwa muda gani? Ni ajabu ikiwa yenyewe imekuja kutaka kumsaini mchezaji huyo huyo? Tena akiwa na miaka 29.

Kama umesoma kila nilichoandika means utakua umeona wachezaji ambao United iliwataka ila wachezaji wakaopt kwenda timu zingine so Amad, Bruno, Ighalo, Pellistr, Telles , De Beek ni wachezaji ambao United ikawapata. Wangapi wanapata game time? Wangapi wana output iliyotarajiwa?

Aouar hakutakiwa na timu moja, wakati Arsenal inapeleka ofa ilikua klabu yake yenyewe inataka abaki, kulikua na fununu za Juve na Barca kumtaka. So haikua Arsenal pekee. Kuhusu Partey, usajili wake ulikua last minute resort kuwatuliza munkari mashabiki so angeweza sajiliwa yeyote yule ili mradi mashabiki wapunguze kulalama na yeyote ambaye asingekua na upinzani.

Wewe mwenyewe unasema umenipa mifano ya wachezaji wawili wakubwa.... Hapa kwenye ukubwa hapa sometimes timu hazimfuati mchezaji kwakua huyo mchezaji ni mkubwa anakua anavutia klabu zenye maono ya ushindi na au pesa. United miaka yote ina pesa ila hii ya Ole imekosa maono, hili linaweza jireflect hata dirisha lijalo.
 
Back
Top Bottom