"The Choosen One"
lakini usisahau kuwa hatuwezi kuendelea kufungwa na historia. Wakati SAF anaichukua timu mwaka 1986 na sasahivi ni vipondi viwili tofauti sana na wakati ule man Utd haikuwa juu kama ilivyo sasa.
Kwa takribani miongo hii miwili man Utd imekuwa inashindania ubingwa sio kushiriki ligi, kwahiyo kocha tunayemhitaji ni yule amayeshindania ubingwa.
Moyes tumemuona tangu mechi za pre season na timu haikufanya vizuri lakini tuliamini ndio kipindi cha kuifahamu timu na wachezaji kumsoma kocha wao na mifumo yake ya ufundishaji.
PIA usisahau kuwa Moyes ametudisappoint sana kwenye usajili,hakuwa Makini kuwasajili wachezaji aliowataka ili kuimarisha kikosi chake!
Mkuu hebu sema ukweli, unaona timu inacheza kiushindani kweli? Kwamba hata soton wanamiliki mpira kuliko man Utd ndani ya OT na wewe unaona sawa, kwamba tumpe muda, mwaka mmoja AMA miwili!? Frankly speaking Moyes hajanishawishi kwamba ni level ya kufundisha man Utd.
Acha kelele wewe, kuongoza ligi baada ya game 8 tu kelele, je mkichukua ubingwa itakuwaje?
BTW nachikia Jinamizi ooops Januz limesaini mkataba mpya ni kweli hayo .. .... .... .... ... .. nzi, Belo, BJ na Ngongo vipi?.
Chifu, kama wewe ni mfuasi wa soka..huwezi kuja na kauli kama hiyo...
Siyo jambo rahisi kwa timu kupata meneja mpya na benchi la ufundi jipya, halafu timu iperform vilevile kama ilivyocheza kipindi cha nyuma...hilo jambo siyo rahisi hata kidogo...
David anahitaji muda...wachezaji wanahitaji muda wa kuweza kuelewa mfumo mpya wa David na benchi lake la ufundi....
Hutakuwa humtendei haki kocha, kwa kumwona hafai baada ya games 8 za ligi na 2 za UCL....
Ni sawa kabisa kujisikia hivyo, pengine kutokana na kuzoea kucheka kila mara...lakini ukumbuke katika soka kuna kucheka, kulia na kutabasamu...sasa fahamu sasa timu inapita katika kipindi kigumu...kipindi ambacho shabiki wa kweli ni budi kuwa sambamba na timu na benchi zima la ufundi....
Man United ni timu kubwa...hiki ni kipindi cha mpito...ambacho kinaweza kuwa hata mwaka 1 ama miaka 2..lakini timu itatulia na kurudi katika fomu yake...
Unakumbuka msimu ambao United haikushinda hata kombe moja chini ya SAF?
Vipi, wageni wameshaondoka hapo kwako?
Karibu hapa Man Utd... Red Devils Hatushikiki