Fuatilia mpira.
Usifuatilie timu.
Ukianza kufuatilia mpira utajua klabu ngapi zilishamtaka Messi.
Mfano haujui kwamba pamoja na huo ukubwa unaoudai dirisha lililopita mlimtaka Reguilon badala yake akaenda Spurs unayoiita ndogo. Mmemtaka Thiago akaenda Liva, Sancho timu kubwa nyie mkashindwa bei, Haaland timu kubwa nyie mkashindwa, Werner timu kubwa nyie mkashindwa akaenda timu ndogo Chelsea.
Mmesajili Ighalo, Cavani, Bruno, Telles, Dony, Amad na Pellistr nitajie timu ambazo zilitaka hawa wachezaji nyinyi mkazipiku hizo timu.
Again, fuatilia mpira. Usifuatilie timu.