Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Limebaki kombe moja tu au tutimize msimu wa 3 bila kombe.
Kila nikiona habari za Ole kupewa mkataba mpya najiuliza tu wanaitakia nini hii timu!

Ifike hatua msimu huu akitoka tena kapa, Ole aachie nafasi ya ukocha tu itakuwa ni jambo la kheri sana, akubali tu ana uwezo mdogo kuifundisha club yenye malengo makubwa kama United.

Kocha ambaye last season ameshindwa kupita nusu fainali 3, msimu huu katoka UCL, Carabao, FA. Huwezi kumtegemea kuja kubeba makombe makubwa kama PL au UCL.

United siyo timu ya kukaa kushindania makombe na Granada. Hii timu ina hadhi ambayo ndiyo ilivutia wale wangese kutoka Marekani kujimilikisha na kufanya ungese wanaotaka. United siyo timu inayopaswa kuwaza kuhusu makombe katika msimu. F*ck the system!

Hii timu inanikera sana linapokuja suala la uwanjani, wamiliki hawajali tena kuhusu image ya timu wala mashabiki, what they get and what they invest in this club ni vitu viwili tofauti.

Now tumekuwa bottlers tu, timu inacheza ungese, no changes, no investment: misimu nenda rudi, hakuna right winger wala striker wa kuaminika.

Kawacheki City kuwa pale siyo uwezo wa kocha tu ni pamoja na uwekezaji mkubwa uliofanyika, kitu kingine ni hawa watoto watoto wamejazana tu kwenye timu, timu inafanya transfers kwa mihemko.

Kwanini investment waliyofanya Chelsea last summer transfer tusifanye na sisi? Kwanini tusitafute kocha atakaye-implement mbinu zinazofanya kazi uwanjani, haya mambo ya United DNA ni kucheleweshana tu.

Ole ni clueless tu na hakuna kitu kitabadilisha hili, timu ni kubahatisha ushindi tu. You know it's bad tukishangilia kumfunga City na kuwa top of the table bila kombe. 😩

#OleOut
 
Kaka ulisema ni vyema sana Ole kuongezewa mkataba mara unatuita wachawi tena.
Swala la kufungwa linahusiana vipi na kuongezewa Sorkskjaer mkataba?

Kati ya Sorkskjaer na Arteta nani yuko vizuri msimu huu?

Mkuu tumefungwa tu hata tusimuangushie jumba bovu kocha.

Tukirudi upande wako, jana umevutwa shati kwenye ligi na watu tuko bati kali kama kafa shoga vile, hatu ongei wala nini, ila habari tunayo.
 
Yaani unaamini kutolewa robo fainali ni bora kuliko kusuluhu katika ligi?
 
Siamini hivyo.
Ila hata wewe una gombea uingie big 4, lakini ndio hivyo tena vijana kila leo hawaishi kukuvuta shati.

Tena jana ushukuru wale jamaa wawili walibeti la sivyo mulikua muna kalia.

Nyie ni vibonde tu sema timu yenu ni ndogo haijadiliwi sana kama Manchester united.

Nyie hata mukifungwa sio habari ya mjini kama tukifungwa sisi.
 
Sisi ni vibonde ila iwe jua iwe mvua nyinyi na chelsea lazima mfe
 
Kumbe kuna watu mnaamini Ole atakuja kuleta kombe OT?? Poleni sana, Van gaal na kikosi kibovu alichukua Mou pia pamoja na songombingo za kina Pogba alichukua ndani ya misimu miwili wote huyu ole msimu wa 3 anaruka tu mnategemea alete kitu??.
Hata aletwe nani hapo ni bure wachezaji hovyo, kocha pia hovyo mara mbili yao.
Hata huo umoja mnaosema karudisha hakuna kitu ni vile tu ni Mr yes hataki kuwakwaza wachezaji ndo mana anaenda nao vizuri hana misimamo hana ukali kwenye mambo ya kijinga.
 
Adjustments.jpg
 
Sisi ni vibonde ila iwe jua iwe mvua nyinyi na chelsea lazima mfe
Kwani we hauamini kunguru kunyea manati?
Kama unaamini basi usishangae Arsenal kumfunga Man United.

Kwanza umetufunga mechi ngapi msimu huu, si moja tu? Tena la kupewa na Var, la sivyo mlikua muna umia.
 
Kumbe kuna watu mnaamini Ole atakuja kuleta kombe OT?? Poleni sana, Van gaal na kikosi kibovu alichukua Mou pia pamoja na songombingo za kina Pogba alichukua ndani ya misimu miwili wote huyu ole msimu wa 3 anaruka tu mnategemea alete kitu??.
Hata aletwe nani hapo ni bure wachezaji hovyo, kocha pia hovyo mara mbili yao.
Hata huo umoja mnaosema karudisha hakuna kitu ni vile tu ni Mr yes hataki kuwakwaza wachezaji ndo mana anaenda nao vizuri hana misimamo hana ukali kwenye mambo ya kijinga.
Timu (uongozi) imeamua kwenda na Sorkskjaer, wewe (shabiki) ukiona uungi mkono unaweza kukaa pembeni mpaka pale atakapo ona mambo yanaenda sawa kama unavyo taka wewe unarudi.

Binafs Man United chini ya Morinho sikuwahi kuifuatilia, yani hata gem kumi chini ya Morinho sijawahi zitazama, namkumbuka niliangalia fainali ya Uefa ndogo na kwa bahati siku hiyo tulishinda.

Niliamua kukaapembeni sababu nilikua siungi mkono ufundidhaji wa Morinho, lakini nitafanya nini na uongozi umeamua? Nikomae kwani timu ya baba yangu?

Nilicho amua mimi ni kutokwenda kuangalia game zake, na kweli mungu akanisikia Morinho akapita hivi.

Mimi timu nilimtunuku Giggs kwa hoja kua wa ukaya, na ukizingatia kipindi kile wachezaji wastaafu wengi waliaminiwa kufundisha timu walizo chezea, kwa kweli iliniuma sana Giggs kutoaminiwa kipindi kile.

Siku nilipo Sikia Sorkskjaer kakabidhiwa timu niliona kua ndoto zangu zime timia, nikasema hapa sasa vibanda umiza watakula pesa zangu!

Kila timu ina falsafa zake ili kuzilinda na kuzithamini inahitajika mzawa ndio azisimamie, hao makocha wa kuokoteza ndio wanafanya timu isinyae kwa kua kila siku wanaanza upya.

Nb: Ukitaka twende na Sorkskjaer hutaki tuache kidogo.
 
Kwani we hauamini kunguru kunyea manati?
Kama unaamini basi usishangae Arsenal kumfunga Man United.

Kwanza umetufunga mechi ngapi msimu huu, si moja tu? Tena la kupewa na Var, la sivyo mlikua muna umia.
Vipigo kwenu havijaanzia msimu huu pekee
 
Limebaki kombe moja tu au tutimize msimu wa 3 bila kombe.
Kila nikiona habari za Ole kupewa mkataba mpya najiuliza tu wanaitakia nini hii timu!

Ifike hatua msimu huu akitoka tena kapa, Ole aachie nafasi ya ukocha tu itakuwa ni jambo la kheri sana, akubali tu ana uwezo mdogo kuifundisha club yenye malengo makubwa kama United.

Kocha ambaye last season ameshindwa kupita nusu fainali 3, msimu huu katoka UCL, Carabao, FA. Huwezi kumtegemea kuja kubeba makombe makubwa kama PL au UCL.

United siyo timu ya kukaa kushindania makombe na Granada. Hii timu ina hadhi ambayo ndiyo ilivutia wale wangese kutoka Marekani kujimilikisha na kufanya ungese wanaotaka. United siyo timu inayopaswa kuwaza kuhusu makombe katika msimu. F*ck the system!

Hii timu inanikera sana linapokuja suala la uwanjani, wamiliki hawajali tena kuhusu image ya timu wala mashabiki, what they get and what they invest in this club ni vitu viwili tofauti.

Now tumekuwa bottlers tu, timu inacheza ungese, no changes, no investment: misimu nenda rudi, hakuna right winger wala striker wa kuaminika.

Kawacheki City kuwa pale siyo uwezo wa kocha tu ni pamoja na uwekezaji mkubwa uliofanyika, kitu kingine ni hawa watoto watoto wamejazana tu kwenye timu, timu inafanya transfers kwa mihemko.

Kwanini investment waliyofanya Chelsea last summer transfer tusifanye na sisi? Kwanini tusitafute kocha atakaye-implement mbinu zinazofanya kazi uwanjani, haya mambo ya United DNA ni kucheleweshana tu.

Ole ni clueless tu na hakuna kitu kitabadilisha hili, timu ni kubahatisha ushindi tu. You know it's bad tukishangilia kumfunga City na kuwa top of the table bila kombe.

#OleOut
Umezungumza vyema na kwa machungu sana mkuu.

Pole sana,... We tambua tu ni kipindi cha mpito, haya yote ipo siku moja yatakwisha.
 
Back
Top Bottom