radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,291
Leta logo yao kijana..isijekuwa wanakuja kutuharibia jezi kama hawa chev..
AIG,AON, SHARP walifanya jezi zetu kuwa kali sana..yaani logo zao nyeupe zilikuwa zinablend vizuri na uzi.
AIG na SHARP walikuwa vizur sana