Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,746
- 25,662
Mbona haina updates zozote hii
Acha kujikosha wewe, pita kwanza sio unaleta ucheshi
Sie tusha mfanya kitu mbaya huyo AC Milan wenu na kudhihirisha kua sisi ni nuks tukiwa ugenini.Spurs inasubiri wa kumpokea
Akichukua fa jeWe unafikir ukitolewa mwakan utacheza futuhi uliona wap timu ya 10 inaenda kucheza futuhi? [emoji23][emoji23][emoji23]
Bruno Fernandez mmoja ni sawa na nusu kikosi cha Asaniali.Hii timu mashabiki wake wote hawana akili, yani wamejazana ujinga kwamba Bruno hakosei.. huyo bruno wenu leo ni mbovu, lakini lawama wanapewa wengine.
Mmelifanyia kazi kwani mshafika fainali yoyote hivi karibuni?Sie tusha mfanya kitu mbaya huyo AC Milan wenu na kudhihirisha kua sisi ni nuks tukiwa ugenini.
Hapa tuko zetu robo tuna ngoja tupangwe na kibonde kama wewe tuku kaange.
Na usisahau lile tatizo la kutolewa nusu tushalifanyia kazi.
Babuuu, we jana si umepakuliwa na wagiriki? ebu tuliza wenge kwanza.Kwahiyo unataka uangalie peke yako
Siunajua wengine tuko msibani tuna kata kata kuni?jukwaa letu leo limepoa sana.. ila nna imani tutaibuka na ushindi
Ndio zetu.King wa away kama kawaida
Fred ndio anapoteza mipira mingi kuliko Scot. Tatizo la Scot, naona cku hizi confidence imepanda sana kiasi kwamba hata kuachia mpira mapema. Anapiga chenga hata pasipo stailiKiungo chetu cha Fred na McTominay bado sana..wanashine kidogo kwenye big games..hasa huyu Mctominay ndo hovyo kabisa,anapiga touchesnyingi,anamissplace pasi nyingi na ni mzito kwelikweli..Hapo bado Fernandes hajapoteza mipira kwa kujaribu difficult things..
Anyway
Welcome back Pogba..
Wote ni hovyo..ila Mctominay anapoteza mipira kwenye sehemu za wazi kabisa..Akili yake haipo sharpFred ndio anapoteza mipira mingi kuliko Scot. Tatizo la Scot, naona cku hizi confidence imepanda sana kiasi kwamba hata kuachia mpira mapema. Anapiga chenga hata pasipo staili
Spurs sio united
Huyu jamaa jana amewafanya vibaya sana Spurs muangalieni kwa makini