Najua uko losers side Ac milanNitakua hapa.
Ni kuombeana njaa tu ndugu yangu.Najua uko losers side Ac milan
Umetuona na sisi AC Milan au?Socha kaanza hivi
=====
Henderson
AWB Bailly Maguire Telles
Matic McTominay
Greenwood Fernandes James
Martial
======
Benchi hamna mtu wa ku-make any difference mambo yakienda vibaya.
Hawa XI inabidi wakiwashe sana
GGMU
nakuona...baadae olympiacos wakifanya yao uwe pia humu unazungusha ugoko.Umetuona na sisi AC Milan au?
Kwa kitakachowakuta kwa Milan mtalala mapema hata atakachofanywa Olympiacos hutakiona. Utakisikia kesho ukiamka.nakuona...baadae olympiacos wakifanya yao uwe pia humu unazungusha ugoko.
Wale wa Ac Milan tujuane mapema. Leo tuna uhakika hakutatokea penati ..maana ndo magoli ya PenandezHapa hamna majibu angalia wanaotunza hizo kumbukumbu huko kwenu ma cheltako



Wale wa Ac Milan tujuane mapema. Leo tuna uhakika hakutatokea penati ..maana ndo magoli ya Penandez
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Huyu dogo mbona mtukutu sana? Nani kamwambia akae juu hapo?
Matic wanampita tu kama kasimamaPale kati namiss huduma ya Fred.