Jamani msiniangushe leo nimeweka tofauti zangu pembeni leo tuko pamoja nipigieni city mimi nipate mkwanja tu, ndio ni mkwanja tu ..mechi zote zimetiki laki sita ileeeee....manyumbu msiniangushe jamani ..
Leo mpate akili nyie nyumbu mshinde ..
GGMU
Sent from my SM-A305F using
JamiiForums mobile app